TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Wote mnaoguswa na vita vinavyoua raia wasiyo na hatua kisa viongozi wakuu wa kimamlaka, naandika hivi poleni sana
Ubalozi wa Iran hapa kuna kitabu cha maombolezo mje.
MADA:
Mliofika kule nchini Zanzibari mtakuwa si watu wa kushangaa kwa hili ninaloandika.
Rais, Daktari Hussein Ali Mwinyi kaamua kuleta mapinduzi makubwa ya kimaendeleo nchini humo.
Mimi nagusia moja tu Bandari.
Upande wa bandari Dr. Mwinyi karuhusu kujengwa bandari zaidi ya tatu zitakazotumika kupokea boat/meli za abilia sehemu tofauti nchini Zanzibari.
Unaweza kushangaa kwa nini eneo dogo kiasi hicho kuwa na bandari tatu, wao wanajua kwa nini ila kiuchumi ni extra miles.
1. Fumba - Unguja.
2. Mpigaduri - Unguja.
3. Malindi - Unguja.
4. Mkoani - Pemba.
Hizo ni multiple abilia na mizigo midogo achana na meli kubwa za container.
Hapa ndipo TANGANYIKA tunapigwa huku tunashangaa na shoti na kuzira!.
Nani anaturoga sisi?
Nani huyo?.
Inakuja meli ya watalii eti inatia nanga eneo la bandari ya container how's it?.
Kuna eneo la bagamoyo (msiseme ndiyo inajengwa sasa) pale ilipaswa 20yrs ago kuwe na bandari kwa ajili ya meli, ndogo na za abilia, kwa kifupi bagamoyo ni eneo la kimkakati sana - Utalii ila bagamoyo yenyewe inakufa kifo cha abunuasi!.
Serikali ya wilaya na Mkurugenzi wake wangekuwa na ubavu wa kisera Bagamoyo ingebaki kuwa sawa na unguja kimfanano kwa baadhi ya mitaa, ila inakufa kifo cha mende!.
Nimeongea eneo dogo tu la hapa Bagamoyo kwetu ila kuna Mafia to Bara ni changamoto KUUUBWA sana, japo kwa sasa wana kivuko ila bado ilipaswa wapewe speed boat.
Mwisho Watanganyika tuendelee kupiga kimya mkombozi wa nchi bado hajazaliwa.
Tuendee kunywa mtoli...