Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko busy tunapambana na upinzani
Hilo Tangazo mbona liko vizuri tu kwamaana hawajasema Chochote zaidi ya kuweka picha na usichokijua ukiwa upande wa Kenya unauona vizuri mlima Kilimanjaro kuliko upande wa Tz, kwahiyo kama nikuupanda ndiyo itakubidi uje Tanzania Lkn Kwa kuutazama ata ukiwa Kenya unaonekana mbashara
Shida ni nini! Naona tatizo ni elimu yako ni ndogo, mlima Kilimanjaro ukiwa Kenya unaonekana sasa tatizo ni nini!
Wewe hiyo picha uliipiga lini na ukiwa upande gani? Thibitisha.Siyo kweli, hiyo imepigwa Magharibi ya mlima Kilimanjaro