Angalia Tangazo hili

Angalia Tangazo hili

Siyo kweli, hiyo imepigwa Magharibi ya mlima Kilimanjaro

Acha ubishi kijana. Hiyo picha imepigwa mbuga ya Amboseli nchini kenya.
Ndo sehemu pekee mlima Kilimanjaro unakuwa na muonekano mzuri kama huo.

Hao wanyama hapo ni Amboseli.
 
Kuona mlima hakuna uhusiano na elimu yangu; unaonyesha wewe una elimu ndogo kiasi kuwa hata hujui maana ya elimu.
Ndiyo sababu nikasema elimu ndogo ona sasa unathibitisha mwenyewe, angalau ungesoma mpaka la sita jografia ingekusaidia kujua kuwa mlima Kilimanjaro uko mpakani mwa Tanzania na Kenya hivyo lazima utaonekana upande wa Kenya.
 
Back
Top Bottom