Angalia Tangazo hili

Hiyo picha imepigwa katika mbuga ya Amboseli ikiyoko Kenya...so hapo hakuna shida yoyote.
 
Jwtz wanabidi wakafanye yao hapo ili mlima wote urudi kwetu kwenye na wakenya walivyo waoga ndani siku tatu tu watachakazwa
 
Hapo ni Amboseli Mlima unaonekana vizuri kuliko upande huu wa Moshi.
 
Shida ni nini! Naona tatizo ni elimu yako ni ndogo, mlima Kilimanjaro ukiwa Kenya unaonekana sasa tatizo ni nini!
Kuona mlima hakuna uhusiano na elimu yangu; unaonyesha wewe una elimu ndogo kiasi kuwa hata hujui maana ya elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…