Angalia US Presidential Debate 2020

affinitytz

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2020
Posts
216
Reaction score
1,007
Kwa wale watu wanaofuatilia siasa za kimataifa ili kutanua uelewa wa siasa fuatilia US Presidential Debate 2020 Cleveland, Ohio saa 10.00 usiku. DSTV ALJAZEERA channel Namba 406 na News Room Afrika Channel Namba 405 watakuwa Live kukuletea Debate hii. Hii itakuwa debate ya kwanza kwa uchaguzi wa mwaka huu, Debate nyingine mbili zitafuata.

Mimi nipo macho hapa na kikombe cha kahawa nikisubiri mabishano hayo.

Inaweza kuwa debate yenye mvuto sana kutokana na namna Donald Trump anavyojibu hoja na ni nafasi ya Joe Biden kuonyesha uzoefu wake kwenye mambo ya kisiasa.

Mjadala utafuata baadaye.
 
Nafuatilia japo kiinglishi hakipandi. Trump anavyogonga 'yai' ni vigumu kumuelewa, angalau huyu Biden na moderator kidogo naambulia mawili matatu.

Ila Trump mtukutu anaingilia sana Biden anapoongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…