Angalia Utongozaji wa Siku Hizi

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Tofauti na huko nyuma, utongozaji wa siku hizi unafanyika mkiwa mmezumgukwa na ma VX kama inavyoonekana kwenye picha. Hapo sidhani kama binti atakutosa. Ma VX yote hayo. Linganisha hizo picha mbili.
 
Mmmh wengine ukija na hayo madude tunatimka mbio, tusijefanywa misukule bureeeee!
 
Mh huyu wa ma vx anadanganywa ila yule wa kuchota maji anapewa ukweli lililo moyoni mwa yule kaka
 
Hizi za Ma vx ndoa zinavunjika sana kuliko zile za kusindikizana kwenye maji
 
:clap2:
Hapa lazima kuna kundi moja litazalisha upendo wa kweli na wa ndani wenye muelekeo wa mbele na jingine litazalisha mpenzi la "ki-Stabilizer". Hao wa kwa miguu litakuwa safi na halisi ila hawa wengine nina wasiwasi hapo jamaa anapiga fix za kujipatia kastabilizer
 
Unashangaa nini wakati unaona wazi siku hizi jua linavyopiga balaa.mie mwenyewe shida,nkaongeze tabu za nn.ukija na vx unakuwa tax yangu sipigwi na jua barabarani,kwanini nikukatae?ukitaka kumiliki demu ujue garama zake sio unakuja kichwa kichwa tu.aku babu,uzuri unatunzwa urembo unauzwa barabarani,yanini ukanifubaishe mtoto wa mwenzio!huna vx chukua taimu
 

He hee hee. ukija na vx unakuwa tax yangu sipigwi na jua barabarani. Na hizo foleni je?
 
Hahahaaaa! Kupigwa na jua!
 
LD ufafanuzi kidogo madude au lidude ha ha haaa!!!!!

Hivyo hivyo bwana, ma VX, Prado, sijui na manini daa, akisimama pembeni yangu tu mi mbio. Mmmmmh!!!
 
Habari yake tax driver!
Dah hii mida ya kupost hii...
 
Huyu dada kiboko pamoja na kujiwa na Cruiser mbona kama hajaelewa somo ? hahaha!

Mbona kashaanza Kuuma Kucha/vidole hapo Kushnei, jamaa anachekelea kimoyomoyo tu, si unaona tabasamu la kizushi, mdomo pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…