Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Duh! Hakusema ana mpango wa kugombea ubunge?
aliona nampotezea ikabidi atulie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Hakusema ana mpango wa kugombea ubunge?
rose umenikumbusha, kuna mmoja huyo ndani ya nusu saa alikuwa kashajifagilia hadi kaniboa.
Eti ana kampuni, ana stationary, hadware, gari aliyonayo haimtoshi anataka kununua nyingine, ana nyumba kubwa ya vyumba kumi, yupo kwenye ujenzi wa lodge halafu anataka aende nje akachukue vifaa vya ofisi. Mengine ngoja niyamezee.
Haya mambo kumbe yapo bwana. Lol!
Unashangaa nini wakati unaona wazi siku hizi jua linavyopiga balaa.mie mwenyewe shida,nkaongeze tabu za nn.ukija na vx unakuwa tax yangu sipigwi na jua barabarani,kwanini nikukatae?ukitaka kumiliki demu ujue garama zake sio unakuja kichwa kichwa tu.aku babu,uzuri unatunzwa urembo unauzwa barabarani,yanini ukanifubaishe mtoto wa mwenzio!huna vx chukua taimu
Mbona kashaanza Kuuma Kucha/vidole hapo Kushnei, jamaa anachekelea kimoyomoyo tu, si unaona tabasamu la kizushi, mdomo pembeni