Angalia Waafrika Tulivyopitia Wakati Mgumu Sana

Inakuwaje machoko wote nchini ni migalatia
Mpaka Mbeya na Mwanza
Kina James na kaka yako Frankie maston na wengine wengi, sihitaji kuzaja server za JF

Kina Tiputipu walikuwa wajanja wazee wa dili wanawauza kwa wazungu nyinyi wabantu wakiwatoa maporini mnakula mbegu ndio mliopelekwa mpaka US na South America kulima pamba
Hakuna mtumwa aliyesafirishwa nchi za kiarabu, wakafanye nini kwenye jangwa
 
Mkuu kumbe hata historia hujui.......kua tip tip kawauzia wazungu watumwab🀣🀣🀣????
Bas tusijadiliane sababu historia hujui.......kasome diary ya tip tip aliyoiandika kwa kiswahili cha kiarabu.
 
Ukweli usemwe.

Yeyote yule anayepitia UZI huu asome kwa umakini mkubwa kweli kweli, na lazima aweke notisi ya nani humu ni Magaidi, Mawakala, na Vibaraka wa Wazungu.

Kuna watu hatari kwa Usalama wa Taifa hili na watu wake.

Somo zuri.
 
Bila kumsahau afande na machoko wote wa Mombasa na Tanga
 
Dunia hii kila mtu kapitia mateso. Tena wengi ni makubwa kuliko ya Waafrika. Acha kulialia.
Niliangalia documentary km sikosei inaitwa our last days... inayowahusu baadhi ya wahanga waliopona kutoka kwenye mateso ya Hitler, sikuchanganya zaidi ya siku 3. Itoshe kusema watu waliteswa na binaadam wenzao mateso mabaya sana.
 
Kwenye hiyo picha huyo aliyekuwa kwenye hicho kinyongeo sio Muafrika (Negroid) ni mtu wa jamii ya Kichina (Mongoloid) na hao pembeni ni jamii hiyo hiyo ya Wachina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…