Angalia Watanzania tunavyojidanganya; Mbwana Samatta hatoteuliwa kuwa mchezaji bora Nigeria

Status
Not open for further replies.
sehemu niliyokosea ni ndogo tu hiyo ya kusema " atateuliwa " ila nadhani CONTENT yangu nzima ya UZI imeeleweka. natamani uwe pia makini hivi hivi katika kukagua maneno hata katika THREADS zile za KIINGEREZA ili nikuamini zaidi.
Kama upo makini usingekosea.
Mimi sikatai maoni yako juu ya Samatta bali nakushangaa unajifanya upo makini na unajua kuliko wengine. Mimi mtu wa hivyo ndio namuona punguani. Subiri usifiwe na sio kujisifu tu. Na ndio maana nimekukosoa kidogo tu povu linakutoka ohh.. threads zile za Kiingereza andika tu na utakosolewa tu.

Nakufananisha na mtoto ambae akizidiwa jambo na mwenzie anasema ngoja baba aje!
 
Bado sijaona kama kuna tatizo watu kujifariji kua samatta atashinda, sidhani ni watu wote wanaamini kwa asilimia mia kua atachukua tuzo ni ile hali ya kujifariji tu na kujiamini kua lolote linaweza tokea.

intellectual huwa haishi kwa " kudhania " bali anakuwa na sababu za kimsingi ambazo ni very vivid. kuishi kwa kudhania ndiyo huu huu " USWAHILI " wetu ambao unatutofautisha na majirani zetu waliotutangulia katika kila nyanja. kudhania huwa ni tabia za " kichawi " na anayejiamini huwa ana uhakika unaotokana na mazingira fulani.
 
Wewe Ni Mhaya?
sehemu niliyokosea ni ndogo tu hiyo ya kusema " atateuliwa " ila nadhani CONTENT yangu nzima ya UZI imeeleweka. natamani uwe pia makini hivi hivi katika kukagua maneno hata katika THREADS zile za KIINGEREZA ili nikuamini zaidi.
 
nilipojiita " cleverbright " nilikuwa namaanisha na najua nafanya nini na nina uhakika na najiamini kwa kile ninachokiona baada ya kukipima. narudia pale pale kuwa Mbwana Samata nilijua kuwa hatoshinda na kweli hajashinda na tuache kujipa matumaini pasipo kuangalia mambo kiuhalisia wake.
 
Mie hata sijafatilia amekuwaje ni nani sifatiliagi na nimemjua baada ya kuona watu wanamuongelea kama ameshinda au ajashinda ya kumponda bado nasimamia kuwa ni wivu tu.

Hongera zake kubwa kwa kutambulika.
 
ili niamini haya uyasemayo kuwa pia uko vizuri kwa lugha ya Malkia naomba basi ndani tu ya dakika tano ( 5 ) zijazo niandikie hiki hiki kwa Kimombo ( Kiingereza ) nasubiri hapa. kumbuka nakupa dakika tano tu ila najua kwa jinsi ulivyo " wordsmith " utaniandikia kwa dakika mbili ( 2 ) tu. nakuaminia!
 
Mie hata sijafatilia amekuwaje ni nani sifatiliagi na nimemjua baada ya kuona watu wanamuongelea kama ameshinda au ajashinda ya kumponda bado nasimamia kuwa ni wivu tu.

Hongera zake kubwa kwa kutambulika.
matokeo ya mchezaji bora WA Africa kwa wachezaji WA ndani bado, achana Na huyo mpuuzi hajajitambua!
 
kama ni kutambulika tu basi hata yule omba omba maarufu aliyekuwepo hapa Dar " MATONYA " nadhani tena anajulika sehemu nyingi duniani kushinda hata Mbwana Samata. vipi Mbwana Samata ameibuka MSHINDI? nipe taarifa kamili.
 
Unaongea kutafuta sifa tu ila hufahamu kama hujui.
 
shida mleta mada anatoa jarida la utafiti bila hata kutetea utafiti wake..

anadai eti "anaona mbali" hiyo sio hoja kubwa..
hata prof maji marefu anaona mbali kupitia uganga...

toa uchambuzi wa kitaalam hapa, kuwa MBWANA hatoshinda kwa hili na lile.sio ooo MAHREZ ohhh watz...

hata mtoto mdogo anaweza kusema maneno kama yako, atatofautishwa tu na mtu mzima kutokana na hoja zake za kiutu uzima...
 
matokeo ya mchezaji bora WA Africa kwa wachezaji WA ndani bado, achana Na huyo mpuuzi hajajitambua!

hayo ya ndani yakitoka " tuhabarishe " mkuu. leo Watanzania tutatumbua sana MIMACHO yetu runingani tukiwa na matarajio hewa ila Mbwana Samata HATOIBUKA mshindi ila siyo vibaya kujipa moyo kwani nayo pia ni njia pekee ya KUJIFARIJI.
 
Kashinda nani?
kawaida wanashinda wanaochezea Europe...
zipo category mbili mchezaji bora afrika anaecheza ndani ya afrika na anaecheza nje ya afrika samatta kabeba mchezaji bora anacheza ndani ya afrika
 
Last edited:
kama hujui mpira nyamza hii sio siasa samata yupo katika kipengelee cha mchezaji bora wa afrika anacheza ndani ya afrika na sio nje na yupo kwenye top 3 hao wachezaj 11 unaowasema ni kikosi cha afrika ambacho kimehusisha na wachezaji wanaocheza afrika na nje ya afrika na samatta kwny kikosi yupo
 
Reactions: KXY
hayo ya ndani yakitoka " tuhabarishe " mkuu. leo Watanzania tutatumbua sana MIMACHO yetu runingani tukiwa na matarajio hewa ila Mbwana Samata HATOIBUKA mshindi ila siyo vibaya kujipa moyo kwani nayo pia ni njia pekee ya KUJIFARIJI.
Mtanzania utakua wewe!? SamaGoal kabeba tuzo.. Sema jingine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…