Angalia Watanzania tunavyojidanganya; Mbwana Samatta hatoteuliwa kuwa mchezaji bora Nigeria

Angalia Watanzania tunavyojidanganya; Mbwana Samatta hatoteuliwa kuwa mchezaji bora Nigeria

Status
Not open for further replies.
Swali rahisi

Tunaomba hiyo orodha ya wachezaji 11

Jibu...

na hapa ndipo wenzetu Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanapotushinda Watanzania kwani Elimu yao ni ya Mwanafunzi kujituma mwenyewe kwa 75% na Mwalimu 25% ila Udhaifu ulionao wa kutafuniwa kila kitu umetokana na mfumo wetu mbovu wa Elimu nchini Tanzania ambapo Mwanafunzi anatakiwa kutafuniwa kwa 90% na Mwanafunzi anajituma kwa 5% na zingine 5% ni za kuibia " kupiga chabo ". sikulaumu sana.

Aisee..
Angalia hapa

kama hujui mpira nyamza hii sio siasa samata yupo katika kipengelee cha mchezaji bora wa afrika anacheza ndani ya afrika na sio nje na yupo kwenye top 3 hao wachezaj 11 unaowasema ni kikosi cha afrika ambacho kimehusisha na wachezaji wanaocheza afrika na nje ya afrika na samatta kwny kikosi yupo
 
hivi kabisa nyie mlijua mimi namaanisha nilipouanzisha huu UZI? pole zenu sana ila hakuna basi mtu au Mtanzania niliyefurahi KUSHINDA kwa Mbwana Samata " POPA " kama mimi amini msiamini. mtatokwa na mapovu bure hadi utumbo wenu kuchungulia nje kwa kunishambulia mimi " MKOMAVU " wa madongo. nilitaka tu TUSILALE na TUCHARURANE ili tuvute muda kwani TUNGEBOREKA kitu ambacho nimefanikiwa KWENU kwa 100%.
Kama ulikuwa unatania ungefikia hatua kutukana watu kwenye majibu yako? Umefurah sana kuliko hata wake waliomsindikiza? Saa nyingine hata kama unajua kuliko mtu yoyote huna sababu ya kuleta dharau kwani wewe ukijua kuandika kuna mwingine anajua kucheza kuliko wewe. Naamini umejifunza kitu na hatukukaa macho kwa ajili ya hii post yako kabisa.
 
.... kwa mtu anayejua mpira na uchambuzi mzuri wa mpira kwa vigezo na sifa fulani fulani Mbwana Samata leo hawezi KUTEULIWA kuwa ni MSHINDI
...........................

mimi naona ni NDOTO YA ABUNUASI tena ni ya MCHANA kabisa.

Nawasihi tu tujifunze KUANGALIA mambo kwa KINA na kwa UPANA wake.
Eti mchambuzi mahiri! p.umbaf
 
na ndiyo maana huwa nawadharau hivi kufika tatu bora ndiyo kushinda? hoja yangu hapa ni yeye kuwa mshindi na siyo yeye kuwemo katika tatu bora. na najua hapo ulipoandika ndiyo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia au kufikia kikomo ila shukrani kwa Serikali ya Dr. Magufuli kwa kuja na Elimu bure na lazima kuanzia mwaka huu kwani nina uhakika kuwa utaenda na wewe kusoma ili angalau uwe na uwezo wa kufikiri na kujenga hoja.
Ungekuwa na akili wala usingerudi kwenye uzi huu. Una roho ngumu sana
 
na ndiyo maana huwa nawadharau hivi kufika tatu bora ndiyo kushinda? hoja yangu hapa ni yeye kuwa mshindi na siyo yeye kuwemo katika tatu bora. na najua hapo ulipoandika ndiyo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia au kufikia kikomo ila shukrani kwa Serikali ya Dr. Magufuli kwa kuja na Elimu bure na lazima kuanzia mwaka huu kwani nina uhakika kuwa utaenda na wewe kusoma ili angalau uwe na uwezo wa kufikiri na kujenga hoja.
Shame on u kubwa jinga aya kashinda sasa Na wivu wako wa kike elimu nan anaihitaji apa si wewe zozo
 
Umepata aibu sana sijui unalalaje
 
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini Nigeria. kwa mtu anayejua mpira na uchambuzi mzuri wa mpira kwa vigezo na sifa fulani fulani Mbwana Samata leo hawezi KUTEULIWA kuwa ni MSHINDI.

Tukutane baadae na kwa wale ambao mtapenda kufuatilia hii sherehe basi hakikisheni ifikapo tu saa tatu ( 3 ) kamili muangalie super sports nine ( 9 ). na kwa taarifa yenu ni kuwa mpaka sasa naandika UZI huu tayari wachezaji 11 watakaochuana yameshatajwa na kila nikiwaangalia hao Wachezaji wenzio ambao ni MAHIRI sioni ni wapi Mbwana Samata ATASHINDA na kinachonichekesha ni kwamba Watanzania wote na hadi media zote za Tanzania bila kusahau humu mitaani watu TUNADANGANYANA kuwa Mbwana Samata atatwaa TUZO hiyo wakati mimi naona ni NDOTO YA ABUNUASI tena ni ya MCHANA kabisa.

Nawasihi tu tujifunze KUANGALIA mambo kwa KINA na kwa UPANA wake

Try to be optimistic in life otherwise you will never succeed!!!! Sasa mbona ameshinda!!!
 
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini Nigeria. kwa mtu anayejua mpira na uchambuzi mzuri wa mpira kwa vigezo na sifa fulani fulani Mbwana Samata leo hawezi KUTEULIWA kuwa ni MSHINDI.

Tukutane baadae na kwa wale ambao mtapenda kufuatilia hii sherehe basi hakikisheni ifikapo tu saa tatu ( 3 ) kamili muangalie super sports nine ( 9 ). na kwa taarifa yenu ni kuwa mpaka sasa naandika UZI huu tayari wachezaji 11 watakaochuana yameshatajwa na kila nikiwaangalia hao Wachezaji wenzio ambao ni MAHIRI sioni ni wapi Mbwana Samata ATASHINDA na kinachonichekesha ni kwamba Watanzania wote na hadi media zote za Tanzania bila kusahau humu mitaani watu TUNADANGANYANA kuwa Mbwana Samata atatwaa TUZO hiyo wakati mimi naona ni NDOTO YA ABUNUASI tena ni ya MCHANA kabisa.

Nawasihi tu tujifunze KUANGALIA mambo kwa KINA na kwa UPANA wake.
Halooo muangaliaji mambo kwa kina vipi hapo? Samatta ndo mchezaji bora sasa. Vipi hayo mambo yako ya kina? Vipi wee uliyejiita ni mcambuzi bora wa mpira, uchambuzi uliingia nyongo nini?
Mie wewe nawaitaga ni watu wenye chuki matak.o. Unaacha kuwaunga watanzania wenzako kupigia debe kitu cha home unshoboka na watu wa nje. Na ubaya zaidi kila mtu alikuwa anaona mtu wetu wa ndani anauwezo isipokuwa wewe tu. Acha chuki matak.o hizo.
 
na ndiyo maana huwa nawadharau hivi kufika tatu bora ndiyo kushinda? hoja yangu hapa ni yeye kuwa mshindi na siyo yeye kuwemo katika tatu bora. na najua hapo ulipoandika ndiyo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia au kufikia kikomo ila shukrani kwa Serikali ya Dr. Magufuli kwa kuja na Elimu bure na lazima kuanzia mwaka huu kwani nina uhakika kuwa utaenda na wewe kusoma ili angalau uwe na uwezo wa kufikiri na kujenga hoja.
Sasa wewe ndo unahitaji uende kusoma. Nyie ndo vihiyo wa mitaani mkikaa mnadanganya watu halafu mkikutana na watu wanauliza maswali yenye changamoto mna lugha mbovumbovu kumbe vihiyo tu hamna mnalolijua. Cheki sasa ulivyoaibishwa, Samatta kabeba ndoo. Achana na mambo ya soka hujui kitu wewe, kalime mboga tu huko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom