Angalia Watanzania tunavyojidanganya; Mbwana Samatta hatoteuliwa kuwa mchezaji bora Nigeria

Status
Not open for further replies.
 




Ameshinda!!!!

Shame on you mbishi mkubwa wewe.

Au ulikuwa na chuki binafsi na Mbwana Samatta?

Ametwaa tuzo kajinyonge kuzimu.
 
African player of the year based in Africa goes to Mbwana Samatta (Tanzania) #GloCAFAwards2015
 
Huyu jamaa uchawi wake umeshindwa haya atuambie alikuwa anamzungumzia Samatta gani ?
 
We jamaa sasa unajisikiaje AIBU YAKO hahahaha
 
Aibu n mbaya sana, sijui katokomea wap
 
Kwa taarifa yenu nilianzisha ule UZI kwa makusudi tu ili TUCHARURANE humu muda uende ili TUSIBOREKE na TUSILALE kwani hata Mimi nilijua kabisa kuwa Mbwana Samata ATASHINDA tu. hata hivyo si mmeona lakini UZI umesaidia kutuweka wote macho hadi sasa hivi Sherehe imemalizika? Hamna mtu niliyefurahi USHINDI wa Mbwana Samata kama Mimi. Hureeeeeeeeeeeee POPA! haya muda wa KUCHARURANA umeisha na sasa TULALENI ili kesho tuwahi makazini. hongera kwa nyote TULIOKUWA TUKICHARURANA na nimefurahi kuwa nanyi kwani mbinu yangu ya KIUCHOKOZI ili tuvute muda IMEFANIKIWA 100%.
 
ile division five iko wapi ilete uchambuzi wake sasa...

anatafutia kiki jf..nyauu ww..
nenda instagram kwa akina GIGY wapuuuzi wenzio...
 

ameshindaaaaaa
 
Na angeshindwa ungesema ulisema sio??

Nani kakudanganya watu tumekaa kuangalia sababu ya hicho unachokiita KUCHARURANA??
 
Aibu n mbaya sana, sijui katokomea wap

wa kuona aubu nani cleverbright au mwingine? angalia post yangu hapo juu NIMESHAWAJIBU wale CRITICS wangu wote katika huu UZI na labda niseme tu kuwa MISSION yangu imekuwa ACCOMPLISHED na mliingia MTEGONI. na kwa TAARIFA yenu hakuna mtu niliyefurahia USHINDI huu wa Mbwana Samata POPA kama mimi na nasubiri tu arejee niende KUMLAKI na kumvisha SHADA la MAUA. jamani wengine MKALALE kesho muwahi MAKAZINI kwani wengine hata kuwepo tu HUMU tunaingiza siku na MSIIGE shauri yenu!
 
Tabia za kike hizo ..kajifunze kujenga hoja maskini wa kufikiri wewe.
 
Maskini roho yako chuki zimekujaa haya rudi sasa useme utumbo wako samata ndo kashachukua tuzo.
 
Hiii mijitu isiyo jiamini kazi yao kujizarau na kutukuza watu wa mataifa mengine.
Hata kwenye maisha watu kama hawa Kazi yao ni kukatisha tamaa watu.
Sasa mbona kachukua
Mbavu zako wewe nawachukia sana watu wa aina yako.
Huna unacho jua kazi yako kutukuza watu
 
We jamaa sasa unajisikiaje AIBU YAKO hahahaha

nijisikie aibu kwa kipi nilichokifanya wakati mimi ndiyo shabiki namba moja wa Mbwana Samata na nilikuwa kila siku namwombea ashinde na leo kweli ameshinda. hizo zingine nilikuwa nawarusheni tu roho ili tubishane na tucharurane humu muda uende na tusilale hadi atakaposhinda na katika hilo MWANAMUME nimefanikiwa. na hata hivyo kuna wengine humu ni VIBAKA maarufu hivyo kwa mimi kuanzisha huu UZI nimewaokoa Watanzania wenzangu kutokupigwa " NGETA " na baadhi yenu. na leo sijui mtamuibia nani tena saa saba ( 7 ) hii.
 
Hahahahahahaha Naona umeamua kutia reverse kwenye mwendo sema ukweli ndugu nafsi inakusuta shame on you
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…