Angalia Watanzania tunavyojidanganya; Mbwana Samatta hatoteuliwa kuwa mchezaji bora Nigeria

Status
Not open for further replies.
Hahahahahahaha Naona umeamua kutia reverse kwenye mwendo sema ukweli ndugu nafsi inakusuta shame on you

hivi kabisa nyie mlijua mimi namaanisha nilipouanzisha huu UZI? pole zenu sana ila hakuna basi mtu au Mtanzania niliyefurahi KUSHINDA kwa Mbwana Samata " POPA " kama mimi amini msiamini. mtatokwa na mapovu bure hadi utumbo wenu kuchungulia nje kwa kunishambulia mimi " MKOMAVU " wa madongo. nilitaka tu TUSILALE na TUCHARURANE ili tuvute muda kwani TUNGEBOREKA kitu ambacho nimefanikiwa KWENU kwa 100%.
 

sasa hapa anaambiwa nani? mimi au Mbwana Samata?
 


Bwahahahahahhahahahaha bwahahahahahaha
 
Aibu yetu au aibu yako?
 
Unaaaafiki
 
Unadhani kila mtu anaishi mtaani kwenu
Nilipo huku ndio kwanza saa 9 mchana
Walikutukana wamenisaidia
 
Kitu nilimchompendea mtoa mada ni kuwa hajakimbia uzi wake. Ni wachache wenye ujasiri huo
 
Full list of winners:

African Player of the Year: Pierre-Emerick Aubameyang

African Player of the Year – Based in Africa: Mbwana Ali Samatta (Tanzania)

*Women’s Player of the Year:* Gaelle Enganamouit – Cameroon

Youth Player of the Year: Victor Osimhen – Nigeria

Most Promising Talent: Etebo Oghenekaro – Nigeria

*Coach of the Year:* Hervé Renard – Ivory Coast

National Team of the Year: Cote d’Ivoire

Women’s National Team of the Year: Cameroon

Club of the Year: TP Membe – DR Congo

Referee of the Year: Bakary Papa Gassama – The Gambia

*Football Leader of the Year:* Abdiqani Said Arab (Somalia)

African Legend award: CK Gyamfi – Ghana

Platinum Award: Muhammadu Buhari

CAF team of the 2014: Goalkeeper: Robert Kidiaba, Serge Aurier, Aymen Abdennour, Mohammed Meftah, André Ayew, yaya Toure, Sadio Mane, Yacne Brahimi, Mbwana Aly samatta, Pierre-Emerick Aubameyang, Baghdad Bounedjah
 
Sijui umekula maharage ya wapi wewe kazi kuja....mbatuu
 

Mchawi wa waTz ni watanzania wenyewe. Wewe mwenye kuangalia mambo kwa kina na upana umegundua nini!!

Say hata asingeshinda uliona shida gani hata kumtakia kila la kheri mitanzania mwenzako ona sasa aibu yote yako. Pumbaaaavu kabisa wewe
 
Halafu unajiita cleverbright? Is this the cleverest idea you could ever think?
 
Nilikuwa nasubiiria nisome manneno yako baada ya mshindi kutangazwa. Kifupi ni kwamba hujui unachoongelea. You are just an inherently talented arrogant and pompous lad!
 
Ukiwa kama shabiki wa kweli wa Mbwana Samatta ungewezaje kulala wakati wa kinyang'anyiro cha tuzo ambapo na yeye anahusika? Naamini ulimaanisha ulichokisema na hizi sasa ni mbinu ambazo tumezitumia tangia utotoni ili kufuta aibu. Yaani ukitaka kuanguka na ukahisi watu wamekuona, unarudia tena swagger ile kimaigizo ili watu wadhani ulikuwa unafanya makusudi pale mwanzo. kifupi umeshasomeka, na wala hakuna sababu ya maelezo mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…