Taa zenyewe zinawaka wiki moja baada ya kufunga then zinafifia mazima, ni utapeli tupuHili si geni, na kwa nini wamechelewa kiasi hiko
Mambo haya yalitakiwa yawe yamefanyika miaka ya 98 huko
Hizi mbanga mbona za kawaida sana kwa CCM!! Mliambiwaje kuhus gas, bwawa la teacher na mengine?