technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
- Thread starter
-
- #81
ExactlyHata huzo kaxi sijui za mkurugenzi wa nini zingetangazwa watu waombe na wawe short listed. Sio kila kitu kuteua. Hata hao ma ras sijui nini sio nafadi za kusiasa ila gapa kwetu ni za watu wanaojipendekeza jwa mkubwa.$$$$$$it.
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Kwani mwangosi aliuwawa na nani kama sio hao policcm??Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
No, you miss the point. You copy the good and leave the bad. Kenya too can copy the good from TZ.Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Hamia huo
Kenya inakaribia kumpata jaji wao mkuu ambapo nafasi hiyo ya kazi ilitangazwa mwez uliopita watu zaidi ya 800 wakaomba !!
Sasa wamechujwa wamebaki majaji 6
Lazima apatikane mmoja kabla ya mwezi October
Hadi raha wenzetu kiasi wanapiga hata katika mambo ya kimfumo !
Aliyemuua mwandishi wa habari kule Iringa kapewa cheo gani mkuu?Polisi kenya akiua raia anapandishwa kizimbani, sio hapa kwetu anapandishwa cheo.
Mimi nafikir ni vema tukaiga mazuri na yale mabaya yao wajifunze mazuri kutoka kwetuMkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Hamia huo ndo nini??Hamia huo
Aliyemuua mwandishi wa habari kule Iringa kapewa cheo gani mkuu?
Kenya inakaribia kumpata jaji wao mkuu ambapo nafasi hiyo ya kazi ilitangazwa mwez uliopita watu zaidi ya 800 wakaomba !!
Sasa wamechujwa wamebaki majaji 6
Lazima apatikane mmoja kabla ya mwezi October
Hadi raha wenzetu kiasi wanapiga hata katika mambo ya kimfumo !
KILAZA