technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
- Thread starter
- #21
Sio laana ni vilaza!!!Watu bwana,leo watu wanajichetua kwamba huo mfumo si lolote si chochote lakini siku ikitokea Mfalme wa nchi ya kufikirika naye akaamua kwamba tutumie huo mfumo,watu hao hao ndo watakuja humu kuusifia na kuonesha jinsi ulivyo na mafanikio.Kizazi cha laana!