Hahahaa mbona tunapenda kukurupuka tu bila ya kufanya uchunguzi ma great thinkers.kwanza suala la kwanza hivi kwani A level ni lazima mbona Dr Bilal hajamaliza A level? na wapo wengi tu baada ya kumaliza form 4 wameenda kusom aulaya au russia na india bila ya kuwa na A level na wengine ninawafahamu ni wakufunzi UDSM,MUHAS na UDOM.na hilo suala la kuunganisha degree ya kwanza na master mbona nikitu cha kawaida na miaka ya nyuma nchi nyingi zilikuwa zinafanya hivyo, hasa kwenye education,uchumi na masomo mengine ya social science. unakuwa mtu unasomamiaka 4 au 5 na ukimaliza unapewa master degree moja kwa moja lakini haimaanishi ya kuwa jujamaliza degree ya kwanza kwani unaanza kuchukua masomoya degree ya kwanza na ukikamilisha credit zinazotakiwa kwa mtu wa degree ya kwanza ndiyo unaanza master.Duniani kuna system za elimu tofauti na tusiwe vichwa mgando au kutokana na ujuinga wetu wa kutokujua hizo system na huwa tuna wa descredit watu elimu zao bila ya kufanya uchunguzi.