ANGALIENI CV YA ADAM MALIMA: hana form six wala bachelor, loooo!!!!

ndio tunachoongea hapa. Wabunge wengi na mawaziri ni incompetent na ukija kuangalia kwanini ni wadhaifu/wazembe na hawafanyi kazi vizuri ni kwa sababu hata shule hawakuenda.

Kwako neno shule maana yake nini?
 
Yani Magamba....wanafurahisha inamaana alitoka secondary akaenda darasa la 4!!Dah!! uongo mwingi mwisho wasiku ujikuta umeyakanyaga!!Ni nyota kama hizi!!
View attachment 57212
 
 
lakini hata akichangia bungeni huwa naona harufu ya graduate wa secondary sio university kwa undergraduate au masters anayosema anayo...kilaza tulimpa unaibu waziri kule kwenye umeme na madini akatupeleka chaka, lakini mkwerwee bado anampa tu....ana nini huyu mkyuba?
 
kusema ukweli, hii ya jah wa njombe kaskazini, ni balaaa, ...unajua kule kwa wabena hawajali sana elimu, wao ukiwa mchawi mzuri ndo unashinda ubunge, hapo mwenye degree zake akijaribu kugombea, watamzika wiki hiyo hiyo.....hii ndo tz bana...kama huamini uliza wakinga na wabena watakwambia.
 

Yaya,

..kwa uelewa wangu ili serikali ya Tanzania ikudhamini kusoma chuo kikuu nje ya nchi ni lazima mhusika awe amehitimu form six au awe amejiendeleza zaidi ya form 4.

..sasa ilikuwaje serikali ya Tanzania impeleke mhitimu wa form 4 kwenda kusoma chuo kikuu Cuba? hii scholarship ya kwenda Cuba alipata wakati gani? Je, ni wakati Prof.Kighoma Malima akiwa waziri wa elimu??

..Zaidi, kwanini Adam alisoma Post Graduate Diploma in Econ wakati tayari anayo masters ya Econ? Pia kwanini akasoma masters nyingine ya economics? Kwa mtizamo wangu since alikuwa na masters ya economics basi inge-make sense zaidi kama angefanya PhD program ya uchumi.

..Mimi naona tujadili utendaji wake tu. Haya mambo yametokea zamani na most probably hakuwa na control nayo. After all minimum qualifications za kuwa mbunge au waziri anazo.
 


Utaratibu wa CUBA unaujua? Ungeelewa kwanza system ya elimu ya Cuba ndo ungechangia vizuri.
 
nilichogundua mimi ni kwamba website ya bunge suala la C.V hawajalitilia maanani sana, si malima tu, wengi sana dondoo zao haziko sawa
 
nilichogundua mimi ni kwamba website ya bunge suala la C.V hawajalitilia maanani sana, si malima tu, wengi sana dondoo zao haziko sawa
This must be a typing error...no high school ..hakuna degree ya kwanza ..direct masters ...na pia master of economics imerudiwa Mara mbili...
inawezekana kuruka high school ...na kwenda kwenye baadhi ya vyuo vikuu wanaotoa foundation course ..one of my friend alikuwa Mzizima akafeli baba yake akampelekea UK akafanya foundation course ...then aka enrol Law ...Baada ya hapo akapiga Barrister course ...akafanya mitihani akafaulu.....in six years akarudi ...Kama high court advocate ...wenzake akawakuta wako mwaka wa Nne Law ...wanaenda kufanya legal Practice wanapishana naye kwenye corridors..
so kwenye Elimu kuna shortcut nzuri zinazokubalika...
 
Watanzania tuache wivu hivi CV ya Malima inakuhusu nini. Hebu leta kwanza yako tuione na tuijadili
 
wameKOSEA HAPO NI BACHELOR DEGREE,NDIO MAANA WAMEWEKA MASTERS MWAKA 94.KWA AKILI YAKO UNAFIKIRI KASOMA MASTERS MARA MBILI YA UCHUMI?NDIO MAANA HAJASOMA FORM 6 ,KAANZA DIPLOMA ,BCHELOR KAUNGA MIAKA MITANO KAMA WANAVYOFANYA ST JOSEPH DEGREE YAO MIAKA MITANO UKITOKA FORM 4 NDUGU.MMENIPATA NADHANI. ANY CONSTRUCTIVE CRITICISM?
 
NA HII HAPA VIPI WAKUU SIJAIELEWA AU NDIO LEARNING BY DOING,EXPERIENCE?

[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Freeman[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Aikaeli[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbowe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Hai[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 3070, Moshi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]fmbowe@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank of Tanzania[/TD]
[TD]Bank Officer[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
pale wamechangana ni bachelor.kama st joseph wanavyofanya
 
una uhakika???!
toa maoni yako basi .mi nimesema possibly watakuwa wamekosea.maana wewe unafikiri mtu atasomaje masters mara mbili ya kitu kimoja?.huu mfumo hata st joseph wanao.ukimaliza form 4 unaenda soma special class hadi bachelor kwa 5 years
st.joseph university in tanzania
[h=3]5 years integrated bachelor degree in science with education[/h]
 

Poaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…