ANGALIENI CV YA ADAM MALIMA: hana form six wala bachelor, loooo!!!!

Si afadhali CV ya Mh. Malima ila waingiza data inawezekana wamekosea sababu ukifuatilia CV za wabunge, wengi wao zinakasoro. Umeiona ya JAH PEOPLE, yaani mpaka leo bado anasoma ELIMU YA MSINGI na sijui ataimaliza lini!

Parliament of Tanzania



Huyu jamaa naona alikataa shule tu. Yaani kazaliwa 1956 mpaka leo bado anasoma shule ya msingi kweli TZ tuna wasanii wengi tu.
 

dah watanzania bado tuko hivo mkuu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…