Angalieni wanawake mnaowaoa je ame sha move on on huyu ukimuo unategemea nini?

Ongeza nyama nyama kidogo. Hiyo sms katumiwa nani na inatoka kwa nani?
Kimada aliyemove on na sasa anataka kurejesha majeshi kwa jamaa!

Na jamaa asivyoweza kuruka vihunzi, kadata hadi pre cume imevujia boxer, akitamani kupasha kiporo.
 
We nae wanawake hutujui kumbe mimi naweza kutuma sms ya aina hiyo kwa wanaume wa 3 na wote wakafikiri kama wewe
Kwa mwanamke hakunaga kupenda ni mihemko tuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
kumbe ndio tabia yako?
 
Future single Mother, Hakuna kuoa Single Mother
Hata akiwa siyo single mother, jua kua kushea ni jambo la kawaida kwasasa,maana haiwezekani mdada alishatembea na wanaume 50+ wewe uje umuoe,useme utawashinda SIFA ex wake wote,hapana.
Muhimu usimbane,ndoa siyo gereza,akimisi aende akapigwe halafu arudi.Ndo maisha yasasa.
 
We nae wanawake hutujui kumbe mimi naweza kutuma sms ya aina hiyo kwa wanaume wa 3 na wote wakafikiri kama wewe
Kwa mwanamke hakunaga kupenda ni mihemko tuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
huyu ananipenda kweli
 
We nae wanawake hutujui kumbe mimi naweza kutuma sms ya aina hiyo kwa wanaume wa 3 na wote wakafikiri kama wewe
Kwa mwanamke hakunaga kupenda ni mihemko tuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
hufahamu history yangu mimi na yeye ananipenda sana sio utani
 
hufahamu history yangu mimi na yeye ananipenda sana sio utani
Hahaha et ananipenda Sanaa
Uliingia kwenye moyo wake mkuu??
Hivi unaangaliaga bongo movie basi ndio mapenzi ya wanawake

Ana mihemko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…