Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Una safari ndefu sana ya angalau kuwa na fununu na wanawake. Pole! 🙏🏿hufahamu history yangu mimi na yeye ananipenda sana sio utani
Una safari ndefu sana ya angalau kuwa na fununu na wanawake. Pole! 🙏🏿hufahamu history yangu mimi na yeye ananipenda sana sio utani
Umalaya mbaya sana. Hapo mtu keshapangwa akapangika.Yangu ni hayo akili kichwani mwako
Hakuna namna nyingine mkuusi ndio mzee
Ndio hiko hivyo mkuu
Haswa kama una vipesapesa tunakupamba tu ujione mwamba pembeni tunakung’ong’a
ana mihemko miaka miwili yote?,Hahaha et ananipenda Sanaa
Uliingia kwenye moyo wake mkuu??
Hivi unaangaliaga bongo movie basi ndio mapenzi ya wanawake
Ana mihemko tu
Una safari ndefu sana ya angalau kuwa na fununu na wanawake. Pole! 🙏🏿
[/QUO
huyu nimemuacha two years a go still bado ananipenda tena sanaa
hizi video unazoangalia wewe mzee wewe...
Ndio maana nimekwambia wanaume hamtujui wanawake mnaotea tu kutokana na story mbili tatuana mihemko miaka miwili yote?,