Angalieni wanawake mnaowaoa je ame sha move on on huyu ukimuo unategemea nini?

Kila mwanamke niliyemwacha huwa anasema kachukia wanaume wote, ni porojo tu.
 
Hahaha et ananipenda Sanaa
Uliingia kwenye moyo wake mkuu??
Hivi unaangaliaga bongo movie basi ndio mapenzi ya wanawake

Ana mihemko tu
ana mihemko miaka miwili yote?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…