Pombe lazima imwagweTusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.
Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.
28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.
View attachment 1595370
Msaliti ni yule anayepuuza matakwa ya wananchiMsaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Hakuna namna huyu jiwe lazima adondoshwe. Hatakiwi hata na mkewe.Tumsuprise ili ikiwezekana haangaike kuiba kura
Yes cha msingi tupige kura nyiiingi kwa wingi ili hata kama wanataka kuiba iwe kazi nzito kwaoTumsuprise ili ikiwezekana haangaike kuiba kura
Msaliti ni yule anayepuuza matakwa ya wananchi
Lisu ndiye rais ajaye. Nothing less nothing moreTumfundisha lissu October kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Hakika ni yeye tu Tundu Lissu, uchaguzi mkuu 2020Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.
Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.
28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.
View attachment 1595370
Hahaaaaaa.............Hakuna namna huyu jiwe lazima adondoshwe. Hatakiwi hata na mkewe.
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Hahahaha Bia yetu at work,
Kwani wagombea ni Lissu na jpm tu?
Tumfundisha lissu October kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
[emoji3][emoji3][emoji3]Lissu ni adui wa Taifa amesaliti Nchi anatembea na laana
Atapewa kura na robert
Vipi ushalipwa pesa zako za roundi ya kwanza Mana naona round ya pili umekuja kwa Kasi sana , baada ya kimya kirefu, una account ngapi?Msaliti wa Nchi akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Amesaliti kwa kitu gani, tuanzie hapo
Vipi ushalipwa pesa zako za roundi ya kwanza Mana naona round ya pili umekuja kwa Kasi sana , baada ya kimya kirefu, una account ngapi?
Safi sana rais wangu John Pombe Magufuli. Eti Amstadam nae anataka kukupangia😁😁😁😁Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.
Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.
28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.
View attachment 1595370