Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake.
Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake.
CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati uwao bila kuchelea.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.