Engineer Hassan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 477
- 504
Hapo bado mkuu ngoja siku zizidi kusonga utatamani ujitoe humu jf maana kutakuwa na mada matope nyingi sana humu.Nimeshaziona mkuu zipo kibao tembe MMU utajionea...
??Mmmmmh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125]
[emoji41] [emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utasikia kati ya mzumbe na UDSM wapi wana shule nzuri ya sheria
Wapi huko swahiba?Unanikumbusha mbali
Kuna zile nina mtaji wa laki moja nifanye biashara gani ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]-Tuliopangiwa Mgambo Jkt tukutane huku.
-Nimechaguliwa Rwamkoma jkt ,vipi wakuu niende?
Soon zinakuja.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna zile nina mtaji wa laki moja nifanye biashara gani ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakuu naomba nitoe angalizo mapema hasa kwa wale ambao hawachelewi kutoa povu
Hawa wadogo zetu wa kidato cha sita wamemaliza pepa zao hivyo muwavumilie tu mpaka mwezi wa kumi watakapoenda vyuoni maana humu ndani watatujazia mada zisizokuwa na kichwa wala miguu kiasi kwamba mtu usiyeweza kujizuia hasira utakuwa kila siku mtu wa kulambwa ban maana kuna mada huwa zinakarahisha sana ukizisoma.
Tegemeeni mada za kutafuta wachumba humu zikijaa ,mada za tuliosoma PCM,PCB ECA,HKL etc tukutane hapa.
Tegemeeni mada za kushindanishwa vyuo humu zikijaa,etc.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zingine wataleta "tution gani nzuri kwa maandalizi ya chuo".
Zinakuja soon π π