Angalizo juu ya katiba mpya

Angalizo juu ya katiba mpya

KESSY FRANCIS

Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
42
Reaction score
11
" Nilishasema kuwa kuna marekebisho kibao ya rasimu kiasi kwamba hakuna muda wa kuyatatua, na mpangilio unaruhusu Tume kutoyatafakari kwa kina. Kwa kuwa hawana mwingiliano wa ana kwa ana na wadau wajuzi. Pia kuna marekebisho ya sheria kibao za kuendesha nchi yanayohitajika Kabla ya UCHAGUZI, Kama katiba mpya itakuja kama rasimu ilivyo. Kenya walitumia miaka 3 kupata katiba mpya na UCHAGUZI na hawakuzimalisha sheria hizo!. Hadi Leo akina WANYANDE wanasota nazo. Sisi tutakuwa na mwaka na nusu tu kama katiba itapatikana mwezi April. Sababu hizi zinatosha kuahirisha katiba Mpya na itumike ya zamani na kufanyiwa marekebisho muhimu tu. Wapinzani na wanaccm fulani labda wanataka hili pia kwa sababu zao tofauti tofauti , Wao HAWATAKI UCHAGUZI UFANYIKE 2015. Hawajasema lakini watasema. Nadhani wanaccm waruhusiwe tu watoke waziwazi waseme. Mbona Raisi anazungumza ya ILANI na hao wenye kuendeleza siasa muda wote wapo katika kuzungumzia katiba wakisaidiana na asasi zisizo za kiserikali? Hii ni kuendeleza upotoshaji
 
Mkuu ungepanga vizuri kile unachotaka kukisema, unaonekana una hoja nzuri!.....
Btn hapo juu unapoanza umeweka fungua semi kana kwamba unamnukuu mtu, mtu huyo ni nani?

Wasalimie Udsm.
 
Back
Top Bottom