Angalizo kuhusu kitabu cha “Rich dad - Poor dad”

Angalizo kuhusu kitabu cha “Rich dad - Poor dad”

Hustler1

Senior Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
116
Reaction score
111
Hiki kitabu ukikisoma mwanzo mwisho ama kweli kinatia hamasa na kama unaajira ambayo haieleweki unaweza andika barua siku hiyo hiyo

Lakini kitabu hiki kimekaa kinadharia zaidi na vitendo vyote vimeachwa kwa msomaji, sote tunajua ni jinsi gani vitendo vilivyovigumu hata katika masomo yetu ya kawaida.

Sasa huyu anayeitwa poor dad ndo anareflect more than 80% ya maisha ya mwanadamu wa kawaida na ambavo wengi huwa tunafikiri, kwa mfano kiyosak anasema kujenga nyumba ni hasara, mshara mkubwa si lolote, usikope pesa etc etc. mhii sawa.

Sasa ukichagua maisha ya huyu anayeitwa rich dad make sure unatoboa narudia tena make sure unatoboa vinginevyo hawa wanaonekana wanafuata maisha ya poor dad ndo wataonekana matajiri mbele ya macho ya wengi

Zile p;rinciple ukizifuata mwanzoni watu lazima watakuona wa ajabu na usipofanikiwa utakuwa wa ajabu zaidi hadi miti itakucheka, kwa hiyo ndugu zangu tupambane haswa tuanapochagua maisha ya rich dad siyo mziki wa kitoto hakuna lele mama tuset stratege za kueleweka ukifanikiwa maisha ni mteremko mnoo na hawa wanaoonekana matajiri kwa mishara utawaajiri baadae

othrewise follow poor dad life style mabayo ndo maisha ya wanadamu walio wengi.
 
Kitabu cha Rich Dad Poor Dad kime reflect zaidi maisha ya Marekani, mfano poor Dad kibongobongo ni tajiri mkubwa tu lkn Kiyosaki anamuita maskini...Pia sheria za kodi na jinsi ya kupata mkopo benki ni tofauti sana kati ya Marekani na huku kwetu.
 
Unaona ee, ndo maana watu husema za kuambiwa ongeza na zako.
 
Hivyo vitabu sisomagi. Vinatia tu genye za kufanikiwa wakati watu tumejaa mizigo ya lazima. Kufanikiwa ni ndumba plus tunguri na mikataba ya kuzimu. Alafu wanakuja kutuandikia vitabu *****. Hao ndo mashetani wakubwa wanyonya maskini alafu ooh poor dad rich dad.😨😨😨
 
Hivyo vitabu sisomagi. Vinatia tu genye za kufanikiwa wakati watu tumejaa mizigo ya lazima. Kufanikiwa ni ndumba plus tunguri na mikataba ya kuzimu. Alafu wanakuja kutuandikia vitabu *****. Hao ndo mashetani wakubwa wanyonya maskini alafu ooh poor dad rich dad.[emoji32][emoji32][emoji32]
Genye yaqkufanikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimekisoma hiki kitabu zaidi ya mara moja na kiukweli haijalishi uko Tz au Marekani, nidhamu ya watafutaji na matajiri inafanana.

Nadhani ndugu yetu hujakisoma vzr hiki kitabu mfano unasema Robert anashauri watu wasichukue mikopo..ambacho sio kweli Robert anashauri watu wasichukue mikopo wakabuy luxury goods, ila anasema mikopo ni mizuri.

Anakwambia ili kufanikiwa you have to start small ili ujifunze pia kutafuta watu ambao wako tayari kutufundisha biashara 'mentors' maana ukiingia kichwa kichwa lazima ulie. Look in 100 deals take 1. Sasa wewe unaangalia 1 deal then unaitake kama ilivyo lazima upige Ukunga.
 
Hujaelewa chochote kuhusu hicho kitabu, kuwa makini siyo kila kitabu umeandikiwa wewe.

Yote uliyoandika hapo juu kuhusu hicho kitabu ni ya uongo tu.
 
Hiki kitabu ukikisoma mwanzo mwisho ama kweli kinatia hamasa na kama unaajira ambayo haieleweki unaweza andika barua siku hiyo hiyo

Lakini kitabu hiki kimekaa kinadharia zaidi na vitendo vyote vimeachwa kwa msomaji, sote tunajua ni jinsi gani vitendo vilivyovigumu hata katika masomo yetu ya kawaida.

Sasa huyu anayeitwa poor dad ndo anareflect more than 80% ya maisha ya mwanadamu wa kawaida na ambavo wengi huwa tunafikiri, kwa mfano kiyosak anasema kujenga nyumba ni hasara, mshara mkubwa si lolote, usikope pesa etc etc. mhii sawa.

Sasa ukichagua maisha ya huyu anayeitwa rich dad make sure unatoboa narudia tena make sure unatoboa vinginevyo hawa wanaonekana wanafuata maisha ya poor dad ndo wataonekana matajiri mbele ya macho ya wengi

Zile p;rinciple ukizifuata mwanzoni watu lazima watakuona wa ajabu na usipofanikiwa utakuwa wa ajabu zaidi hadi miti itakucheka, kwa hiyo ndugu zangu tupambane haswa tuanapochagua maisha ya rich dad siyo mziki wa kitoto hakuna lele mama tuset stratege za kueleweka ukifanikiwa maisha ni mteremko mnoo na hawa wanaoonekana matajiri kwa mishara utawaajiri baadae

othrewise follow poor dad life style mabayo ndo maisha ya wanadamu walio wengi.
Si hayo tu mkuu. Poor dad lifestyle itakuepusha na matatizo mengi kama vile kisukari, pressure, figo, moyo, nk. Lakini ni bora kuishi maisha ya umasikini wa kadri na utajiri wa kadri kuliko kuishi maisha ya umasikini au utajiri uliopindukia.
 
Nimekisoma hiki kitabu zaidi ya mara moja na kiukweli haijalishi uko Tz au Marekani, nidhamu ya watafutaji na matajiri inafanana.

Nadhani ndugu yetu hujakisoma vzr hiki kitabu mfano unasema Robert anashauri watu wasichukue mikopo..ambacho sio kweli Robert anashauri watu wasichukue mikopo wakabuy luxury goods, ila anasema mikopo ni mizuri.

Anakwambia ili kufanikiwa you have to start small ili ujifunze pia kutafuta watu ambao wako tayari kutufundisha biashara 'mentors' maana ukiingia kichwa kichwa lazima ulie. Look in 100 deals take 1. Sasa wewe unaangalia 1 deal then unaitake kama ilivyo lazima upige Ukunga.
Mi nimetoa angalizo kulingana na mazingira yetu africa, na wala sijasema ni kibaya ndo maana nasisitiza if you choose rich dad lifestyle jitahididi ufike level fulani otherwise utakuwa kinyume chake.
 
Rich Dad Poor Dad is surely an eye opener na haijalishi upo Canada au Tanzania, unaweza ukaimprovise some suggested strategies na ukatoka

1. Mind your own business: sio lazima uache kazi kwa haraka ila unaweza ukafungua biashara/other sources of income kuliko kuendelea kutegemea salary tu ambayo haina maisha marefu na chances za kuajiriwa zinapungua as you get older

2. Use other people's money: kama una opportunity ya kukopa, kopa na uitumie vizuri hiyo fedha. Tumia fedha za watu. Utapiga marktime sana kudunduliza vijisenti vyako mpaka uje ufikie minimum target amount uliyoset kufanyia maendeleo

3. Focus on buying income generating assets and not useless stuff (liabilities): epuka kupoteza muda na fedha kununua junkies kama miiphone mikubwa zaidi ya moja, magari, kuhongahonga hovyo etc wakati huingizi chochote

4. Focus on investing your money rather than saving it: well, as long as una idea ya kufanya business, kuweka hela bank zikae tuuu kwa riba ndogo sana au bila riba kabisa ni kupoteza.

5. Your house is NOT an asset: hapa kuna utata kidogo ila alijaribu kufafanua. Asset simply ni kitu inayokuingizia faida na liability ni kitu inayochomoa mpunga kutoka kwa wallet. As long as nyumba yako umeipangisha, hiyo ni asset. Otherwise ni "liability" kwani itahitaji gharama za maintenance. Probably alikuwa anataka kuincourage watu wainvest fedha zao kwanza kwenye assets then faida kidogo inayopatikana lbd ije kutumika kujenga

Hayo ni kwa uchache ila kuna mengi ya kujifunza!
 
sio kila kitu alichokiandika kinaweza apply kwenye maisha yako...ila ni ukweli usiopingika vingi vitakufaa sana.
 
Hivi kuna sehemu Tunaweza pata wazarendo tukapata Hivi vitabu kwa pdf?
 
Back
Top Bottom