AsanteIngia hapa www.pdfdrive.net , afu andika Kitabu unachotaka mkuu
Ubarikiwe Sana ndugu. Kumbe wazarendo Bado mpo. Really GoodIngia hapa www.pdfdrive.net , afu andika Kitabu unachotaka mkuu
Kweli mkuu 🙂.Sasa wewe unaangalia 1 deal then unaitake kama ilivyo lazima upige Ukunga.
Kwanini umekubaliana nae?me jamaa zilkubaliani nae anaposema elimu haisaidii.
nimesema sikubaliani nae.yeye anasema haisaidi kwa sababu mambo yanayofundishwa yanawafanya watu wafikirie ajira tuu na sio kutengeneza pesa.Kwanini umekubaliana nae?
Kwanin elimu haisaidii??
Big up,Rich Dad Poor Dad is surely an eye opener na haijalishi upo Canada au Tanzania, unaweza ukaimprovise some suggested strategies na ukatoka
1. Mind your own business: sio lazima uache kazi kwa haraka ila unaweza ukafungua biashara/other sources of income kuliko kuendelea kutegemea salary tu ambayo haina maisha marefu na chances za kuajiriwa zinapungua as you get older
2. Use other people's money: kama una opportunity ya kukopa, kopa na uitumie vizuri hiyo fedha. Tumia fedha za watu. Utapiga marktime sana kudunduliza vijisenti vyako mpaka uje ufikie minimum target amount uliyoset kufanyia maendeleo
3. Focus on buying income generating assets and not useless stuff (liabilities): epuka kupoteza muda na fedha kununua junkies kama miiphone mikubwa zaidi ya moja, magari, kuhongahonga hovyo etc wakati huingizi chochote
4. Focus on investing your money rather than saving it: well, as long as una idea ya kufanya business, kuweka hela bank zikae tuuu kwa riba ndogo sana au bila riba kabisa ni kupoteza.
5. Your house is NOT an asset: hapa kuna utata kidogo ila alijaribu kufafanua. Asset simply ni kitu inayokuingizia faida na liability ni kitu inayochomoa mpunga kutoka kwa wallet. As long as nyumba yako umeipangisha, hiyo ni asset. Otherwise ni "liability" kwani itahitaji gharama za maintenance. Probably alikuwa anataka kuincourage watu wainvest fedha zao kwanza kwenye assets then faida kidogo inayopatikana lbd ije kutumika kujenga
Hayo ni kwa uchache ila kuna mengi ya kujifunza!
Mwandishi alionesha umuhimu wa financial literacyme jamaa zilkubaliani nae anaposema elimu haisaidii.
yuko sahihi lakini anaona elimu inayofundishwa mashuleni aina maana kabisa.Mwandishi alionesha umuhimu wa financial literacy
Hiyo imekaa poa sana.Kitabu kizuri sana, kimenisaidia sana yaani sasa najiamini kutohangaika na kununua liabilities. Kwa sasa naamini hata nikiwa na pesa ndogo nitaweza kuanzisha biashara ndogo ila inayokua.
ASANTE SANA ROBERT KIYOSAKI maana haukupoteza muda wako kuandika kitabu hiki.
Anza na hii..Hivi kuna sehemu Tunaweza pata wazarendo tukapata Hivi vitabu kwa pdf?
Mtazamo wa rich dad niliamua kuufuata nikiwa mwaka wa pili chuo. Nivigumu sana but nivilahisi ukizamilia. Sijafanikiwa sana hadi sasa but hadi Leo sijachukua cheti cha kuhitimu chuo na pia mfanyakazi wa mshahara wa 1million siyo kitu kwangu ambaye naendesha maisha ya utafutaji wa kijasiliamali. Jambo linalonifariji kwa kufata mtazamo wa rich Dad I see the Bright future.Hiki kitabu ukikisoma mwanzo mwisho ama kweli kinatia hamasa na kama unaajira ambayo haieleweki unaweza andika barua siku hiyo hiyo
Lakini kitabu hiki kimekaa kinadharia zaidi na vitendo vyote vimeachwa kwa msomaji, sote tunajua ni jinsi gani vitendo vilivyovigumu hata katika masomo yetu ya kawaida.
Sasa huyu anayeitwa poor dad ndo anareflect more than 80% ya maisha ya mwanadamu wa kawaida na ambavo wengi huwa tunafikiri, kwa mfano kiyosak anasema kujenga nyumba ni hasara, mshara mkubwa si lolote, usikope pesa etc etc. mhii sawa.
Sasa ukichagua maisha ya huyu anayeitwa rich dad make sure unatoboa narudia tena make sure unatoboa vinginevyo hawa wanaonekana wanafuata maisha ya poor dad ndo wataonekana matajiri mbele ya macho ya wengi
Zile p;rinciple ukizifuata mwanzoni watu lazima watakuona wa ajabu na usipofanikiwa utakuwa wa ajabu zaidi hadi miti itakucheka, kwa hiyo ndugu zangu tupambane haswa tuanapochagua maisha ya rich dad siyo mziki wa kitoto hakuna lele mama tuset stratege za kueleweka ukifanikiwa maisha ni mteremko mnoo na hawa wanaoonekana matajiri kwa mishara utawaajiri baadae
othrewise follow poor dad life style mabayo ndo maisha ya wanadamu walio wengi.
Je unaposoma kitabu nini ni lengo hasa?Zile p;rinciple ukizifuata mwanzoni watu lazima watakuona wa ajabu na usipofanikiwa utakuwa wa ajabu zaidi hadi miti itakucheka, kwa hiyo ndugu zangu tupambane haswa tuanapochagua maisha ya rich dad siyo mziki wa kitoto hakuna lele mama tuset stratege za kueleweka ukifanikiwa maisha ni mteremko mnoo na hawa wanaoonekana matajiri kwa mishara utawaajiri baadae
Taja mawili ya uongoHujaelewa chochote kuhusu hicho kitabu, kuwa makini siyo kila kitabu umeandikiwa wewe.
Yote uliyoandika hapo juu kuhusu hicho kitabu ni ya uongo tu.
Hiki kitabu ukikisoma mwanzo mwisho ama kweli kinatia hamasa na kama unaajira ambayo haieleweki unaweza andika barua siku hiyo hiyo
Lakini kitabu hiki kimekaa kinadharia zaidi na vitendo vyote vimeachwa kwa msomaji, sote tunajua ni jinsi gani vitendo vilivyovigumu hata katika masomo yetu ya kawaida.
Sasa huyu anayeitwa poor dad ndo anareflect more than 80% ya maisha ya mwanadamu wa kawaida na ambavo wengi huwa tunafikiri, kwa mfano kiyosak anasema kujenga nyumba ni hasara, mshara mkubwa si lolote, usikope pesa etc etc. mhii sawa.
Sasa ukichagua maisha ya huyu anayeitwa rich dad make sure unatoboa narudia tena make sure unatoboa vinginevyo hawa wanaonekana wanafuata maisha ya poor dad ndo wataonekana matajiri mbele ya macho ya wengi
Zile p;rinciple ukizifuata mwanzoni watu lazima watakuona wa ajabu na usipofanikiwa utakuwa wa ajabu zaidi hadi miti itakucheka, kwa hiyo ndugu zangu tupambane haswa tuanapochagua maisha ya rich dad siyo mziki wa kitoto hakuna lele mama tuset stratege za kueleweka ukifanikiwa maisha ni mteremko mnoo na hawa wanaoonekana matajiri kwa mishara utawaajiri baadae
othrewise follow poor dad life style mabayo ndo maisha ya wanadamu walio wengi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unaona ee, ndo maana watu husema za kuambiwa ongeza na zako.