moja kazi ya sababu kubwa inaonekana hivyo ni demokrasia ya kubadilisha uongozi kila baada ya miaka 4/8 plus kuna elections za midterms ambazo zinaamua nani anapata majority bungen/baraza la wawakilishi na hiyo hupelekea mambo kubadilika vs islamic republics kwa mfano kama ukidili na raisi wake leo utadili naye pia mwaka 2040 kama siyo yeye basi mtoto wake, mke au hata basha wake, hakuna kinachobadilika islamic republic zote kwa maana hakuna demokrasia ...