angalizo kwa aliyehusika na hii kitendo

angalizo kwa aliyehusika na hii kitendo

kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...


sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa yatakayo kukuta
Kigoma kwa uchawi mliona nao na wewe unalalamika
 
Back
Top Bottom