Angalizo kwa f6 watakaochaguliwa saut mwanza.

Angalizo kwa f6 watakaochaguliwa saut mwanza.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Hostel ni za shida sana, chumba bei ya chini laki 5, kwa semester si chini ya coz 9 labda uchaguliwe BASO, swala la kuandamana kudai haki sahau, vpindi ni mpaka jumamosi. Nawasilisha.
 
Hostel ni za shida sana, chumba bei ya chini laki 5, kwa semester si chini ya coz 9 labda uchaguliwe BASO, swala la kuandamana kudai haki sahau, vpindi ni mpaka jumamosi. Nawasilisha.

ahsante kwa kutujulisha nasikia dada zetu ndo skirt Full kama masista wao!
 
Kama kuna waliowahi kumaliza chuoni hapo, inamaanisha KUSOMA NA KUMALIZA SAUT INAWEZEKANA, tusiwakatishe tamaa wadogo zetu! Kama elimu ni gharama, jaribu .....
 
Na kuanzia mwakani wavulana hakuna kuvaa jeans ni kitambaa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom