Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni

Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni

Kuna ukweli juu ya hili na pia kuna madhara juu ya hili sababu ni moja, kwamba kilichokua bora leo kesho chaweza shuka thamani, lakini kesho kutwa chaweza kupotea ama kurudi kwa kasi.
Nilisoma makala moja Citizen ya jumamosi 12/nov/2011 ikizungumzia kuhusu uchaguzi wa Zimbabwe nikakutana na hoja mbili zinazokinzana. Moja ilikua ikisema uchumi haukui hadi tuboreshe Foreigh Direct Investment(FDI) na nyingine ikiamini uchumi hautokua kama hatujaboresha investment ya ndani na kuwawezesha watu wa ndani kufanya kazi na kuanzisha biashara za ngazi zote. Malengo ya wanafunzi uamua ni aina gani ya bachelor akachukue huanzia akimaliza kidato cha 4, na kwa kiasi fulani akimaliza kidato cha sita. Sasa pana miaka takribani mitatu au minne hapo tangu hiyo kazi anayofikiria kuifanya kuikuta, chochote kinaweza kutokea hapo,yeye hana makosa bali ni sera ya nchi.Kama taifa letu lingekua na mawazo ya kufuata mfumo wa pili hapo juu ambao kuna chama Zimbabwe kinaahidi kikiingia madarakani kitautekelza basi ni moja kwa moja kukngekua na ajira zinawasubiri graduates. Kwa kua hilo halipo kwa sasa yes nakubaliana na mdau hapo juu. Na nnapenda kuongezea hapo juu kwamba kuna degree za kiswahili watu wanadharau lakini hii lugha ipo kwenye demand kubwa kwa kipindi kirefu kijacho sababu ni lugha inayokua wadogo zetu muwahimize waende huko. Pia kuna suala ya upungufu wa chakula duniani na kupanda kwa bei za vyakula hivyo suala la kilimo ni hot cake kwa sasa na kipindi kijacho hivyo si vibaya wadogo wakajikita kusomea agriculture kwa nia ya kujikita kwenye ujasiliamali upande wa kilimo ,mifugo
 
Nashukuru kwa kunielimisha,ubarikiwe! Basi naomba unipatie ruhusa ni copy hii makala yako,ni print then nikaibandike kwenye notice board maana kuna wengi ambao hatujui life after college huwa kunakuwaje,ili kuandaa mazingira mazuri ya kifikra so inabidi vijana tupewe hili somo!!
 
mkata kiu, hongera kwa kutambua hii.
na hongera kwa kuwaasa wadogo zako
umenikumbusha kijana mmoja tulikutana baada ya kumaliza chuo anashangaa kumbe serikali haituthamini kiasi hichi. japo wakati wa mgomo mnatoa amri aje waziri mkuu hamumtaki waziri wa elimu ya juu, na enzi zile sumaye anakuja kweli,lol!
mambo magumu ila punda afe mzigo ufike
 
Duh,mkuu umenena,kwel, mkubwa dawa ,mimi form six nilipata moja,ambapo malengo yangu ilikuwa ni kupiga law,ila wazo kama ulolitoa hapo juu ndo lilinifanya nibadil na kupiga koz hz mpya baada ya kuangalia umuhmu wake kwa jamii,kuna koz mpya inaitwa B E IN GUIDANCE AND COUNSELNG,ambayo ilininfluence mpaka now na run hiyo coz,lkn bado cjui huko mbele itakuwaje, mungu nisaidie, ,
 
ndo maana ukaamua kujibanza kwa nape?

tatizo na CDM wengi kila anayewachallenge mnaona yupo under nape! Who is nape? Nape kaja katukuta..tafuteni cha kuongea siyo kurelate vitu visivyo na kichwa wala miguu
 
Umeonge points tupu,pia ktk upande wa govt utumishi wa umma wangehusika na ajira zote kasoro za majeshi.jamaa hawana upendeleo wamenitoa kitaa nilipokaa almost 3yrs..Mungu aibariki hile taasisi..
 
ANGALIZO KWA KAKA /DADA NA WADOGO ZANGU WOTE MLIOPO VYUONI NA MNAOTEGEMEA KUMALIZA CHUO
Mi ni graduates wa chuo kimoja cha uma mwaka 2010 and nakummbuka sana stories tulizokuwa tunapiga enzi za chuo na matumaini kibao na washkaji chuoni, especially ambao tuliingia chuo direct from school ambazo mara nyingi zilikuwa tofauti na stories ambazo in services walizokuwa wanaziongelea wakitokea makazini,, so after almost a year In real practical world nimejifunza yafutayo na nimeona si vibaya nikishare na washkaji zangu ambao bado mkpo vyuoni na mtaani mkiendelea na harakati

1.Kwanza kabisa Heshima kwa watu wote ama course yoyote sababu vyuoni kuna tabia ya kujiona huko juu kisa unasoma course flani like Telecom,B com, BAF, logistics etc na kuwaponda wenzako kuwa watasota kitaa au watakuwa na maisha duni kisa wanasoma degree hazieleweki, in real world maisha hayaeleweki na ajira siku hizi si mchezo na hata kubebwa lazima ubebwe na mtu mwenye nguvu kweli kweli sio rahisi kama tunavyozani na hii imechangiwa na technology, siku hizi kazi nyingi zinafanywa under management system so haziitaji nguvu nyingi ya lazima kumwajiri aliyosomea yoyote anafundishwa system kasha anapiga mzigo kama kawa,

2.Pia kuandaa plan B mapema, nadhani weni wetu plan A inakuwa kuajiriwa nah ii inaweza ikabuma so ni vyema kuandaa plan B na hata Plan C if possible mapema na tena itapendeza ukianza nayo toka huko chuoni wakati unapata pata vipesa vya Boom kama mtaji mdogo wa what ur going to do kama usipopata ajira.


3. Kuwa makini kwenye Mahusiano yako, Date the right one sababu patner ndo mtu wa kwanza close kwenye harakati za maisha na hata kupeana furaha hata kama mishe haziendi sawasawa, na vyuoni ni sehemu zenye wide choice so badala ya kupoteza muda na visister duu visivyojua maisha ni nini au visharobaro visivyojielewa kama ni mdada jilengeshe kwa right man ambae mtakuwa pamoja kwenye michakato yote coz hukisubiri uje umpate wakati una kazi nzuri au pesa nyingi atakuwa feki huyo na pia kupata hiyo kazi nzuri na pesa nyingi inaweza isifike hata baada ya 10 years as soko ni gumu sana nowdays and Kila nyumba ina graduates siku hizi so job is a real challenge


4.Jitahidi uwe unique katika competitive market usipende vitu vya kuigana as kufata mkumbo like kukimbilia masters wakati hauna experience tena kwenye vyuo vyetu vya kibongo ulivyosoma undergraduate unaenda kuchukua masters cheti, but u ddnt masters anything because the mean of master is the same as mastering something you know better and wish to continue doing on your life. But ukipata chance abroad atleast utachange pia hata kuimprove communication skills as you know kidhungu ni ishu kwa sisi wabongo. USHAURI HIYO SCHOOL FEES YA MASTER BILA EXPERIENCE NI BORA HUITUMIE KAMA MTAJI KWENYE PLAN B YAKO kuliko kuipeleka chuoni then ukarudi kwenye u jobless


5. Communication skills kwa kiingereza nazo zinahusika nowdays, kwa wale mliopitia English medium schools au kusoma abroad na wote ambao kiingereza mnakijua vizuri tumieni lugha hiyo vizuri kuwachanganya mabosi kwenye interviews au hata kwenye career fairs as you know kwa bongo English deal, although haina maana yoyote.


6. Pia jitahidi ujichanganye na watu mbalimbali ili utengeneze network na pia fuatilia sana kampuni ambazo zinarecruit kila mwaka like KPMG, PWC, DELLOITE, SDV, PKF, ERNST AND YOUNG etc sababu hizo ndizo hope kubwa kwa graduates tusio na connection sababu ziko na fair recruitment japokuwa ni process kupata maana interview sio chini ya tatu na GPA lazima iwe inasoma na ina relate na matokeo ya Form 4 and form 6, sio form4 div 4, form 6 div 3 halafu chuo una first class hapo jamaa watajua chuo umefanya uchakachuaji tu, Nimesema hivyo through my experience working in among those firm since I graduate up to now, na nilipata job bila kumjua hata mfagiaji wa ofisi,, so I encourage my fellows mjaribu bahati zenu..

NI HAYO TU NDUGU ZANGU NIMEONA TUSHARE KAMA KUNA MTU ANA LA KUONGEZEA RUHUSA KWA FAIDA YA NDUGU NA JAMAA

Asante sana kwa kutupa somo zuri lenye kutujenga sisi wadogo zako ambao tunakaribia kuhitimu...kwa dunia ya leo plan b na c muhimu huhitaji hata kuambiwa kwan 2naona kwa macho jinsi ajira zilivyo ngumu..
 
Duh,mkuu umenena,kwel, mkubwa dawa ,mimi form six nilipata moja,ambapo malengo yangu ilikuwa ni kupiga law,ila wazo kama ulolitoa hapo juu ndo lilinifanya nibadil na kupiga koz hz mpya baada ya kuangalia umuhmu wake kwa jamii,kuna koz mpya inaitwa B E IN GUIDANCE AND COUNSELNG,ambayo ilininfluence mpaka now na run hiyo coz,lkn bado cjui huko mbele itakuwaje, mungu nisaidie, ,

hakuna taaluma mpya inayoanzishwa kwa kukurupuka,kila taaluma unayoiona inamahitaji katika jamii ila tatizo lipo katika uhusiano wa wahitimu na nafasi za kazi zilizopo.Fuata yafuatayo naamini yatakutia nguvu na kukudhihirisha kuwa ujakosea kuchukua hiyo taaluma.

1.Angalia idadi ya vyuo inayotoa taaluma yako,ukiona ni vichache halafu admission capasity ni dogo,basi kama miundombinu ya hicho chuo ni mizuri tupia ya kwanza.
2.kwa taaluma yako ya mambo ya uangalizi na ushauri yako maeneo mengi ambayo unaweza ukafanya mfano NGO's kibao zinaanzishwa zinazo jishughurisha na mambo ya kijamii na zilizopo zinazidi kukua.

3.Fursa umeshaipa,kama muanzisha thread alivyosema kazi ni chache na kuna ushindani mkubwa maana idadi ya wahitimu INATISHA.Cha msingi ni kusoma kwa bidii hakikisha GPA yako inasoma maana course zote za Bachelor of Arts(BA) ukiachana na KAMLETE basi ni GPA tu hakuna kingine tofauti na Bachelor of Science(BS).M/MUNGU ATAKUONGOZA.
 
sasa mm nitatoka kweli,maana sijasomea education,na niko B.A pia wakati nachagua niligundua koz iko ud pekee na inachukua wanafunz 30 pekee kila mwaka,sina mchongo mwingne labda ulinzini wa nchi ndiko marefalii wangu waliko.naogopa jamani..
 
Wangejua maisha yanachapa bakora wasingekuwa wanawaza maghorofa ma magari mazuri wakiwa chuoni, huku kitaaa ngoma inogile,
 
sasa mm nitatoka kweli,maana sijasomea education,na niko B.A pia wakati nachagua niligundua koz iko ud pekee na inachukua wanafunz 30 pekee kila mwaka,sina mchongo mwingne labda ulinzini wa nchi ndiko marefalii wangu waliko.naogopa jamani..

twende zetu kwenye ulinzi shirikishi mkuu.
 
Harmy d.nimekusoma kamanda,hyo koz yangu inatolewa vyuo viwil tu hapa tz ,ni udom na teku,then kwa sis ad capacty mwaka wa 3 ni 85,mwaka wa pil ni 80 mwaka wa kwanza ni 65,dats whats up,na mim niko udom,mkuu hcho kilfanya niache law niaply hyo fakat
 
Lol! Wewe ni Great Thinker Kweli kweli.... Nimeipenda hoja ya kuchagua Spouse.... inahusika sana. Wengi wanaishia kuruka na visister du vyuoni wakifika huku mitaani inakuwa balaaa. Plan B na C pia muhimu. Ngoja niiprint niwagawie wadogo zangu waliopo vyuoni labda wanaweza kuambulia kitu hapa. Be Blessed
 
Lol! Wewe ni Great Thinker Kweli kweli.... Nimeipenda hoja ya kuchagua Spouse.... inahusika sana. Wengi wanaishia kuruka na visister du vyuoni wakifika huku mitaani inakuwa balaaa. Plan B na C pia muhimu. Ngoja niiprint niwagawie wadogo zangu waliopo vyuoni labda wanaweza kuambulia kitu hapa. Be Blessed

Thanks mkuu, almost 75 parcent ya niliomaliza nao 2010 hawajaaliwa, you have to be smart to survive in career world
 
sasa mm nitatoka kweli,maana sijasomea education,na niko B.A pia wakati nachagua niligundua koz iko ud pekee na inachukua wanafunz 30 pekee kila mwaka,sina mchongo mwingne labda ulinzini wa nchi ndiko marefalii wangu waliko.naogopa jamani..

Usiogope sana ndugu, God is there for us, but plan b muhimu na kuwa makini kwenye dating, choose the right partner
 
Back
Top Bottom