saidyakub
Senior Member
- Aug 26, 2010
- 181
- 71
Kuna ukweli juu ya hili na pia kuna madhara juu ya hili sababu ni moja, kwamba kilichokua bora leo kesho chaweza shuka thamani, lakini kesho kutwa chaweza kupotea ama kurudi kwa kasi.
Nilisoma makala moja Citizen ya jumamosi 12/nov/2011 ikizungumzia kuhusu uchaguzi wa Zimbabwe nikakutana na hoja mbili zinazokinzana. Moja ilikua ikisema uchumi haukui hadi tuboreshe Foreigh Direct Investment(FDI) na nyingine ikiamini uchumi hautokua kama hatujaboresha investment ya ndani na kuwawezesha watu wa ndani kufanya kazi na kuanzisha biashara za ngazi zote. Malengo ya wanafunzi uamua ni aina gani ya bachelor akachukue huanzia akimaliza kidato cha 4, na kwa kiasi fulani akimaliza kidato cha sita. Sasa pana miaka takribani mitatu au minne hapo tangu hiyo kazi anayofikiria kuifanya kuikuta, chochote kinaweza kutokea hapo,yeye hana makosa bali ni sera ya nchi.Kama taifa letu lingekua na mawazo ya kufuata mfumo wa pili hapo juu ambao kuna chama Zimbabwe kinaahidi kikiingia madarakani kitautekelza basi ni moja kwa moja kukngekua na ajira zinawasubiri graduates. Kwa kua hilo halipo kwa sasa yes nakubaliana na mdau hapo juu. Na nnapenda kuongezea hapo juu kwamba kuna degree za kiswahili watu wanadharau lakini hii lugha ipo kwenye demand kubwa kwa kipindi kirefu kijacho sababu ni lugha inayokua wadogo zetu muwahimize waende huko. Pia kuna suala ya upungufu wa chakula duniani na kupanda kwa bei za vyakula hivyo suala la kilimo ni hot cake kwa sasa na kipindi kijacho hivyo si vibaya wadogo wakajikita kusomea agriculture kwa nia ya kujikita kwenye ujasiliamali upande wa kilimo ,mifugo