Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni

Ndugu umeshaur vizur, ila umesahau kitu kimoja muhim kuliko vyote, kwa imani ya kila moja asisahau kw mtanguliza Mungu wake, KWAN WENGI TUNA AMIN MPAJI NI MUNGU,mengi yanatokea kweny hii dunia mabaya saaaana na mazuri saaaana na ya wastan saaana, jiulize mbona kati ya haya unaweza kua nayo au ucwe nayo.Naamin ni MUNGU.
 
huyo mwenye plan ni kichwa mi nipo serekalin lakin nimeuona walaka unaowakataza wakurugenz kuajiri kwa sasa maana hakuna pesa
 
Cjutii kuingia jamvin ucku huu ilihali kesho nina mid-term test hapa xul ILBORU tangu nilipoanza kuifuatilia hii jf najfunza v2 vngi sana ktk maisha lakini hili halina mfano,nashukuru sana mtoa mada na wachangiaji,cz safari yangu bado bt imewiva nipo kdato cha 5,na nina tegemea kupata msaada zaidi kuptia kwenu. MUNGU AWABARIKI.
 

sawa mzee wa kufufuka.
 

Haya kagonge test kwanza kisha urudi hapa jamvini
 
umenikumbusha UDSM, nilisoma physical education, sports n culture, baadhi ya marafiki wa bcom n law walikuwa wakijoke kwamba dah naona mzee unatengeneza coursework kwa kuogelea, unacheza netball nini, but infact ni kwamba katika course yetu tulikuwa 16 na 10 tuko kwenye central Gvt, na wale washkji zangu bado wananiomba hela za beer hadi jana.
 
huyo mwenye plan ni kichwa mi nipo serekalin lakin nimeuona walaka unaowakataza wakurugenz kuajiri kwa sasa maana hakuna pesa

ukweli ndio huo. serikali haina hela ya kuajiri kwa sasa.
na plan B sio rahisi kutekelezeka kama watu wanavodhani.
ina vikwazo vingii sana plan B.
LAKINI UKIWEZA VIVUKA.HUTATAMANI TENA KUAJIRIWA.
 

i salute you meen,hii hali ninaipitia sana kitaa, nimekutakana na washkaji niliowaacha chuo wanasoma LLB,cha ajabu nilipowaeleza manene kama ya hapo juu wakanijubu upuuzi kisa boom linawatunza mjini
 
Naangalia maelezo ya mtoa mada na uungaji mkono wa waandishi wengine, ninachokiona ni kuchanganyikiwa kwa wa TZ. Sioni la maana ktk mada hii inayojaribu kuweka misingi ya maisha kama Sheikh Yahay Hussein (RIP).

Achaneni na maisha ya kanuni. Hakuna kanuni ya maisha, hakuna kozi inayouzika kaablaa hujamaliza shule hiyo na usiponzeke na uzoefu wa mtoa mada. Kama yeye kafulia, mwingine kaukata kwa kozi hiyo hiyo.

Muhimu ni kuwa na akili ya kijasiliamali, ili kila wakati ufikilie tofauti na wengine ili uwahi nafasi.

Acheni kuunga mkono bila sababu.
 
Tunashukuru sana kwa mtoa mada hii kiukweli binafsi imenipa changamoto kama mwanachuo wa mwaka wa tatu ninayetegemea kumaliza after 5 months,kiukweli hayo yapo japo si kwa 100% ila tunapaswa kujipanga na hasa kujijengea mbinu za kuwa na plan B,thanks umenipa changamoto
 
Moderators tafadhali iwekeni hii thread kama Sticky, ina ujumbe wa muhimu sana.
 
Mawazo mazuri, ila kila nyumba kuwa na graduate ni uongo wa mchana. Kwa mfano ktk ukoo wetu, niliyefika chuo kikuu ni mimi peke yangu. Kafanye utafiti upya.

Kaka ni angalizo jumla tu, rate ya graduates kwenye families now day ni kubwa kuliko zaman, karibu kila HOUR manager ana ndugu kwenye familia yao ni graduate
 

Pamoja kaka, hakuna ajira nzuri kama the one you create yourself, its a symbol of educated person who understand the main goal of education
 
i salute you meen,hii hali ninaipitia sana kitaa, nimekutakana na washkaji niliowaacha chuo wanasoma LLB,cha ajabu nilipowaeleza manene kama ya hapo juu wakanijubu upuuzi kisa boom linawatunza mjini

Waache kaka, watakuja kuliona soko lilivyo, law firms kubwa ndo zimeshika market na hazitoi ajira za kueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…