Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni


Yap hizo zipo sana, watu wanakuwa hawajui maisha yalivyo, mshukuru muumba kwa alipokufikisha
 

Ni kweli sister, kipindi cha chuo ndo muda wa kuringa, maana zaidi ya hapo maisha sio lelemama, mtaani kunahitaji ujasiri na heshima ya hali ya juu
 

Choice of the spauses ni muhim sana, uzuri wake chuon kuna wide choice, unacheza pole pole katika uchaguzi maana utalizwa na maumivu mawili ya kimaisha na ya mtaani mambo ya kibuma, but mkiwa wawili upendo na malengo mkiendana mnashauriana mtoke vipi katika mapambano
 
Reactions: SG8
Shukrani mkuu.

Bongo watu wanakomaa na paper qualification mpaka kuangalia vyeti vya form four na six?

Is this typical?
 
Shukrani mkuu.

Bongo watu wanakomaa na paper qualification mpaka kuangalia vyeti vya form four na six?

Is this typical?

Very typical
kuna graduate wa DUCE alifutiwa vyeti sababu
cheti cha form four alifoji....while college ni yeye ndie aliesoma but still walifuta na wakaenda kwenye press kujisifia
kuwa wamechukua hatua hiyo
 
upo juu sana mtoa mada big up,mtaani PAKAVU SANA
 
Waswahili walisema majuto ni mjukuu! Siku zote wawapo vyuoni, vijana weengi wanaamini future zao zitang'aa ghafla soon after graduating! Naseme hivyo kwa ushahidi niliojionea kwa macho yangu wakati niko najiendeleza ktk chuo kikuu kimoja cha umma hapa inchini! Vijana, wake kwa waume walikuwa hawashikiki wala kushaurika wakijigamba kwa kuwa na elimu nzuri ya chuo kikuu, wakiamini tayari maisha wameyaweza! Wengine walidiriki hata kujisifia waziwazi na kuwabeza wenye elimu za chini yao! Ukiwaambia uhalisia wa maisha hauko hivyo kule uraiani wanakuona outdated! Leo hii miaka inazidi kwenda lakini ukikutana nao lazima wakuombe japo chochote, hawana kazi na dharau zao zilisababisha wasiwe na mahusiano mazuri na jamii! Huko vyuoni jamani tubadilikeni! Asanteni na kila la kheri ktk maisha.
 
wadogo zangu nawashauri someni tu! kazi zitapatikana! mawazo ya hofu kutoka kwa wachangiaji yasiwatishe
ila usisahau kuwa na plan B ni muhimu kwa maisha ya sasa!
 
mkuu umeongea point kinoma sema swali langu ni hili jee hao akina pwc,ernst yung na etc uliowataja hao si wanadeal na mambo ya accounting nin, economics...etc vipi watu wa vitivo vingine mfano sociology, sheria, pspa nao vipi wajiunge huko huko kwa hao jamaa mana tunategemea kuingia kitaa halafu connection hatuna hapa wengine...ova...
 
Mjomba! asiye sikia ni kiburi chake, wasitake kutest sumu kwa kuonja ilikujua kama imeexpery uliyo ya eleza yana ukewli hata huku kitaani kunawashikaji wanapiga temporary jobs na kulipwa mishahara isiyovuka laki tatu kwenye fani ambazo hawakusomea baada ya kuishiwa matumaini yaa matarajio yao.
 
Safi sana mkuu,umesomeka mbaya..maana ka hapa udbs watu wanadhani ndo tayari waisha yapatia maisha.
kabisa jombaaa wanaringa sana watoto wa huko sana sana huyu nailiu huyu..daaah ngoja nimkaushie...aaaah mamanzi wa huko wanajiona wako TRA hivi ama Barclays hivi daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…