Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Hongera Mhe. Rais kwa kuendelea kufufua shirika letu la ndege, ndege 7 kwa kipindi cha miaka 4 ni hatua kubwa. Wastani wa kununua ndege 2 kila mwaka, what a President πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Rai yangu kwako ni kuendelea kujenga misingi imara ya usimamizi na uangalizi wa shirika, audits ziwe zinafanyika mara kwa mara. Hii itasaidia kushauri hatua za kuchukua iwapo shirika litakuwa linaendeshwa kwa hasara kwa kuwa hizi ni kodi zetu Wananchi.

Tusipofanya hivyo kuna hatari fedha zetu tulizoweka humo zikapotea bure ili hali ni fedha nyingi tumewekeza.

Tujifunze awamu zilizopita, Mwalimu J.K. Nyerere aliacha ndege zipatazo 14 lakini hadi leo hii tumeshindwa kujua zilipo na hatimaye tumeanza upya kununua ndege.
 
Umefurahi ee eti meno yoye 40 nje nje, na kulipa ufurahiage hivyo hivyo
 
Nipo sawa manengelo,labda huwa nikinywa gongo ya Mwamire,Magugu au Magara Manyara kichwani zinaweza kuyumba.Otherwise am OK Dude
Kwahjo hao wanywaji unavyoona hawaagizi kama walivyo na hao mademu wanaohama sehem classic wanaenda temeke wewe roho yako kwatuuuu!!jichunguze sehem..!sio sawa
 
Nipo sawa manengelo,labda huwa nikinywa gongo ya Mwamire,Magugu au Magara Manyara kichwani zinaweza kuyumba.Otherwise am OK Dude

Haupo sawa mkuu wangu..ni akili za kimasikini hizo kujidanganya mwenye mafanikio akianguka ww unahis kupanda...ni kuidanganya nafsi yako mkuu!aliyenacho ni anacho tu ww maskin utafurahia lakn tarehe 15/ ww maskini utapak ka spacio kako nakuanza kupanda daladala...!nawashangaaga sn mnaofurahia watu kuanguka
 
Swala ni nani kafanya.

Ni nyinyi ndio mlisema hazina kumekauka,kama sio unafiki huu mnaongea sasa hivi,mnadhani ilikuwa kazi rahisi tu kumalizia kazi pesa zikiwa hazipo???
 

Huezi kusimama hadharani na kuanza kusema Lissu ni bora kuliko serikali hii, Niulize tuu wangapi ambao wamewahi kufika Singida mashariki kwa Lissu wananchi wako hoi, Miundo mbinu Duni na ni kwa muda sasa yuko jimboni pale, nataka tu nikumbushe kitu kimoja kwamba tuache kuchanganya siasa ambayo bado haijatekelezwa kwa maendeleo yanayoonekana watanzania tuwe wamoja.......
 
Tukifikisha idadi ya ndege sawa na Ethiopia, watu wataota magaga ya kwenda Airport kupokea ndege.

Wakati wa Kambarage, ATC ikifikisha ndege 14. Mwenye picha "toka maktaba" Mwl akipokea ndege japo moja tu, atusaidie.
Wakati wa Nyerere tulikuwa hatuna tv na ndege nyingi tulipewa misaada kama Ile tuliyopewa na malkia
 
Wakati wa Nyerere tulikuwa hatuna tv na ndege nyingi tulipewa misaada kama Ile tuliyopewa na malkia
Ya msaada ilikuwa ile Forker Kwa matumizi ya viongozi sio ndege za abiria.
 
Sawa,lakini ni lini TBC wataonyesha live hali kama hii huko vijijini?

Angalia hapa:

Waambie Shangazi waambie hao wababaishaji wa mipango. Mbeya wanasema "unwege uwalwa bhana bhendee kitali" Lousy and inhumane priorities!!!
 
Hv ICU unakujua au unakata mauno tu hapa jamvin?
 
Sawa mkuu,Mimi hata ka- spacio,ka- ist,nadia na jamii ya vigari vya kipuuzi hata ukinipa bure sipokei, kudadadadekiii trh 15 napaki upuzi spacio kweli?Si afadhali nitembelee pikipiki boxer!!!

Mkuu tafadhali ,sidanganyi nafsi yangu wala sifurahii umaskini kwa sababu Mimi maskini.

Facts talks mamen!!!

Sio akili za kimaskini kudhani mwenye mwenye mafanikio akianguka maskini napanda juu kileleni.

Sasa hivi mtu akiambiwa hakuna usanii sanii kujipatia fedha,watu mnakuwa wakali.

Hahahahaha, kiongozi hata wewe kweli tunapotosana hivi wakati madanga yanahamia huko kutoka ushuani?Huoni au unajifanya hamnazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…