Angalizo Kwa Wakulima wa SoyaBeans: Ndani ya Miaka 3 Ijayo Soko la Soya Litaporomoka Baada ya China kuanza uzalishaji wa Mahindi Soya ya GMO.

Angalizo Kwa Wakulima wa SoyaBeans: Ndani ya Miaka 3 Ijayo Soko la Soya Litaporomoka Baada ya China kuanza uzalishaji wa Mahindi Soya ya GMO.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Serikali ya China imetoa kibali Kwa wanasagansi wake kuanza uzalishaji wa mazao yanayotumiwa Kwa Wingi na watu Kwa teknolonia ya GMO.

Mazao Makuu yaliyolengwa ni Soybeans,Mahindi (Yellow &Sweet corn) ,ngano na Baadhi ya wanyama hasa nguruwe.

Aisha katika kuondokana na utegemezi mkubwa wa kuagiza bidhaa hizo kutoka Nje,China imefanya ugunduzi wa GMO Kwa kupandikiza protein ya soya kwenye mahindi na hivyo kuanza uzalishaji wa Soya-Mahindi.

Lengo la China ni kuimarisha usalama wa chakula Kwa kupunguza Kwa nusu uagizaji wa bidhaa hizo kutoka Nje Ili Kukabiliana na geopolitics China develops new high-protein corn to replace foreign soybeans
Screenshot_20250314-084921.jpg
Screenshot_20250314-085049.jpg


My Take
Kukosa soko la China ni pigo kubwa Kwa Wakulima

Wakulima wa soya mkiongizwa na kina Kusaga wa Clouds jiandaeni kutafuta soko jipya.
Screenshot_20250314-084445.jpg


Serikali yetu nayo ijitahidi kuimarisha sekta a mifugo na Uvuvi Ili tuwe na soko la uhakika la ndani.Kenya tayari wanazalisha GMO so sio soko Letu tena.
 
Haliwezi shuka kirahis hivyo
Unamaanisha nini Mzee? Mlaji wa soya Mkuu Duniani ni China Kwa Ajili ya Mifugo akifanikiwa kutengeneza za kwake na ku cut imports by half Kwa nini lisishuke?
 
Back
Top Bottom