Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

 
We Paskali mbona hizi habari zimekuibua toka mafichoni. Hebu tuambie ilikuwa wapi kwa sababu ukiwa Platinum Member ni mtu muhimu sana katika hili Jukwaa.
 
Maisha yameumbwa na kifo pia kumeumbwa, kila mtu ni lazima atakufa siku yake ikifika tena atakufa kifo kile kile alichopangiwa na Mungu kifo ni chini ya mamlaka ya Mungu pekee na sio sisi binadamu.

Paskali
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
P
 
Kuna mmoja akifa nahisi watu watafurahi sana

Mbaya zaidi ni kama anatabiriwa/anaombewa kifo....maneno huumba hivyo kadamnasi ikishaomba uondolewe duniani ni hatari sana.
Duh...!.
P
 
Sijui kama Ben Saanane wetu huko alipo anasoma JF, nimemkumbuka.
P
 
Mimi ninashangazwa, yule anayetumia maandiko kuonya na kutaka kuokoa roho inayojipoteza yenyewe ndio analaumiwa na yule anayefanya matendo ambayo hata maandiko yanasema Hakika utakufa wanaona anaonewa.
Duh...!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…