Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Mungu Hana mshauri Pascal, hufanya apendavyo.
 
So sad efforts zako Pasco zimekwenda na maji .

Ndoto zako za kuukwaa uteuzi ndio Basi Tena

Yafaa kusema kwa usitoe Sana ufahamu kutetea visivyoteteka .

Kulamba watu miguu Ni kujidhalilisha naa kuharibu sifa yako uliyojijengea miaka na miaka .

Haya Jamaa kashatangulia naamini Sasa unafanya vetting umlambe Nani miguu kwa sifa za kinafiki .

Kujifunza unafiki uzeeni ndio tabu yenyewe.

Tuendele kujifukiza
 
Hiyo ya kusema mtoa roho Israel umeipata wapi pascal mayalla? Maana usije ukajikuta kuna watu kwa chuki zao wanaita hivyo huku wao ndo wakiwa watoa roho wenyewe kwa mabomu na risasi
Duh...!.
P
 
Asante kwa taarifa za vifo.
P
 
Mungu kasikia kilio cha waja wake
 
Pole sana kwa msiba.
P
 
RIP JPM.
P
 
Inawezekana shetani akawa na nguvu?....
Vifo vingine sio kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani?.
P
 

Mkuu Pascal Mayalla pole kwa msiba wa Mkuu wetu na karibu tena JF. Nakupongeza kwa bandiko lako lililojaa hekima.

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…