Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Mwite aje huko chimbo ashindwe kuokota kuni za kupikia? Ashindwe hata kusogeza mercury au kalai, ashindwe hata kushika scale? Ashindwe hata kuingia kwenye konga hata mara moja? Haiwezekani
Ukimuona sasa😓😓 kama zungu jeupeeee..hawez hayo maisha
 
Sawa sisi tumekusikia na tumekubali hatuji, Ila hebu tuambie wewe Mwenzetu huko unafanya Mishe gani? Kwann hadi Leo hii bado umeng'ang'ania huko na hutaki kurudi tuendelee na Kilimo Kijijini huku Igembensabo?
[emoji23]
Aliyekuambia katokea igembensabho nani!
 
Nipo Kimberley nauza Apples maisha yanasonga!
 
Afghanistan? [emoji26] si bora nife kifo cha asili au hata cha kurogwa sio mbaya haphapa Bongo kuliko kulipuliwa vipande vipande.
Mkuu Afghanistan,Syria,Iraq watu wengi tu wananaenda Kama maexpat wanapelekwa na mashirika ya kimataifa kama UN na mengineyo na mshahara wanalipwa mrefu kwenda risky areas.
Sio eti kwenda kuganga njaa, kwanza unaanzia wapi utoke bongo ukatafute maisha Afghanistan [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenzetu wana standard km yana mawe hawanunui... km una uwezo wa kuchambua tani 20 za maharage kuondoa mawe kazi kwako.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mkuu Mimi Kama Mimi siajfikia level za kununua na kugrade matani. Ila akitokea mtu anahitaji itakuwa rahisi kushirikiana.
 
Cheki na website yao..ntakuunga na mkulima

Mkuu nimefuatilia nyuzi zako nikiri wewe ni mpambanaji. Serikali yetu ingekuwa na mpango unaoeleweka wa kuwawezesha vijana ukakabidhiwa vijana kadhaa na fungu tungekuwa mbali sana. Ila pia nikiri aliyekuoa ana bahati sana
 
Mkuu nimefuatilia nyuzi zako nikiri wewe ni mpambanaji. Serikali yetu ingekuwa na mpango unaoeleweka wa kuwawezesha vijana ukakabidhiwa vijana kadhaa na fungu tungekuwa mbali sana. Ila pia nikiri aliyekuoa ana bahati sana
Ila kuna mengine tusiilaumu serikali...ni sisi kujiongeza..mashamba mengi ya sisal wameshika wahindi na arabs...! Kuna watu ukimwelezea faida za kupanda miti anakuambia it takes a lot of time haya kuna sisal hii hapa ..kuna kioindi Mh Majaliwa aliiongelea kwa upana sana zao la katani...tena mashamba yanakodishwa almost na bure..tupo tu...huu ni uwekezaji mzuri mno mno tena hauna gharama..yharama ni vibarua..mbegu ni 200/@ plant wenginr wanakupa buree...!nxt yr ntakua nimekamilisha 5acres nione inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…