Kiuzoefu Sisi wabongo wengi hatuna Akili ya kusogea kimapato tofauti na watu wengine,Utawakuta watu wa mataifa kama Nigeria,Zimbabwe na wengineo wakifika ulaya wanaanza kupambana na kazi za ovyo Ila baada ya muda utaona wamefingua African shops zao,au wanasoma baadaya ya muda Utawakuta wapo sehemu nzuri,
Ila Wabongo tunaishia always kubeba box na usafi katika Maisha yetu yote,hatujiongezi kabisaaa,
Nawaincourage watanzania wenye Elimu ya UMEME,PLUMBING,GAS KAMA WAPO,FUNDI UJENZI,FUNDI MAGARI,SEREMALA, waje watafute Fursa Ulaya maana wanahitajika,