imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Yule nae Ndezi tu, hataki tujenge kwanza ndio tumpigie kazi.DANGOTE
Smenti mifuko kumi inampunguzia nini
Wahindi ndio wapigaji sasa halafu wanafichia kwenye leja ya matumizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule nae Ndezi tu, hataki tujenge kwanza ndio tumpigie kazi.DANGOTE
Sio yeye tu, wawekezaji wengi wanalalamika juu ya uaminifu wa wafanyakazi watanzania wa kada zote; wote ni wapigaji Mpaka SPIKA wa Bunge ,si uliona bili yake ya hospitali alivyoibumba!!Yule nae Ndezi tu, hataki tujenge kwanza ndio tumpigie kazi.
Smenti mifuko kumi inampunguzia nini
Wahindi ndio wapigaji sasa halafu wanafichia kwenye leja ya matumizi
Ila huyo jamaa kazidi nasikia alipiga Dolar Milioni nasema tena Dolar Milioni kumi na sita kwenda kutibu vidonda IndiaSPIKA wa Bunge
Ahaa nimekupata,Babu alitusua kimaisha au Bado anaganga njaa ?Yaani hapo kwa babu sio kama alikuwa boya hapana yeye mwenyewe alikuwa msafiri kwa wale wenzangu wa meli Watakuwa wamenielewa alikuwa katembea sana na meli ikafika wakati akaamua kulizima kaburu a kila bata zake anatoto la kizuru sio poa huyu MZUNGU BABU alikuwa smart hadi wale wazuru unaowajua wewe mandava mapiga manati walikuwa wanamkubali babu... Alikuwa rafiki wa kila mtu hata pale inapotokea umepishana kiswahili na wazuru basi babu alikuwa anauwezo wa kuwaita mandava wa kizuru nakupiga nao story na kuwaelewasha kuwa wewe ni mgeni wake umekosea anaomba usamehewe na fresh kesho kitaa hakuna noma wala nini.... Dah kila ninapotaja jina la babu nakumbuka mengi sana Mazur ya babu... Wazungu wengi sana wamepita kwa babu
Mkuu hayo matangazo wanayatuma Wapi aiseeTuma saizi unapata kiulaini. Mimi mchana huu nimetuma email 2
Mkuu nauli ya Qatar ni kiasi gani, mchingo gani ni rahisi zaidi kuipata , je hali ya kimaisha kijamii na kiuchumi iko vipi...?Mkuu saizi Qatar,UAE kuna fursa Sana wahindi hawaingii sababu ya Covid-19. Ukiomba mchongo wa fani yoyote kwenye matangazo yao unapata fasta.
Share nafasi hizo Mkuu..ikikupendezaWananiletea sana through International group flani hivi. Naipotezea nafasi ni nyingi sana UAE
Mochongo ipo mingi mkuu njo na wewe na miguu yako tu ndani ya mwezi ushapata kazi.Mkuu Qatar kuna michongo au wahindi wameshakomba yote
Usiwaze ndugu yangu nitakula michongo.Namba ni ile ile mwanangu
Huku saizi maharage hasa Yale mekundu baba yanatafutwa ni balaa, Mimi napigana hapa nipate vibali nije bongo kukusanya mzigo.Mkuu nipe konekshen ya kuuza maparachichi Qatar. Kuna mdau aliwahi niambia kilo ya maparachichi Qatar Ni sawa na Tzs 10,000.
Utaratibu wa Visa unakuwajeMochongo ipo mingi mkuu njo na wewe na miguu yako tu ndani ya mwezi ushapata kazi.
Sasa mkuu utaongeleaje vitu ambavyo umesimuliwa?ungekuwa umejaribu kuishi nje au hata kufika ungefanya comparison inayoleta logic.
By the way jamaa alikuangalia AKAKUSHANGAA SANA NA KUKUDHARAU[emoji16] japo wewe ulihisi kakuaminia, unaweza jiuliza kwanini?.
Kwa sababu mtu mwenye hekima katika kutoa ushauri huangalia sana interest ya mshauriwa ili kusudi asimkwaze au kumdisappoint,hiyo principle inaitwa HAWTHORNE.
Ukweli unabaki kuwa kuna opportunities sana nje na nyingi kuliko hapa kwetu na maslahi ni makubwa mno,nimeishi nje ninajua ninachokisema.
Huwezi kusema ni rahisi kutoboa kwenye nchi ambayo any time TRA wanakusumbua na mikodi mikubwa ya kukadiria isiyoeleweka,sheria za uchumi za ajabu ajabu,kufilisiwa na kufungiwa account,kuteswa kwa wafanyabiasha na kunyang'anywa mali ulizozitafuta kwa jasho kwa kigezo cha UHUJUMU UCHUMI [emoji23] utoboe kirahisi kulinganisha na nchi zenye sera bora za maendeleo na zilizostaarabika.
Hebu fikiria ikiwa INVESTORS wenye billions of dollars capitals wanashindwa kufanya biashara kwa mazingira mabaya hadi wanakimbia nchi itakuwa wewe mwenye ml 2 - 10 utoboe kirahisi?[emoji16]
Achana na biashara twende kwenye kilimo na ufugaji utatoka vipi,ulime nini?una soko la uhakika?pamba ambayo kilo unauza shilingi 800 au mahindi unayonunua stock kubwa ya tani kadhaa,unasafirisha kufika mipakani yanazuiliwa kuingia kuwa ya SUMU[emoji24]?kwa sababu ya uhusiano wa kidiplomasia mbaya baina yetu na majirani?.Mara ngapi tani za nyanya,maparachichi,mihogo,korosho zinatangazwa kuharibika kwa kukosa soko?
Ukiajiliwa je?ukae miaka 6 bila promotion, increment na ongezeko la mshahara utatoboa?.
Kuna ajira?NGO'S na Government zinaajiri?.
Note😀ada wa kazi na mfanya usafi std 7 DUBAI,QATAR,OMAN na SAUDIA analipwa kuanzia TSH 800,000 monthly,free meal,free healthcare,free accomodations,free WiFi,unamlinganisha na mfanya kazi gani wa serikali yako na mwenye elimu ipi?
Maharage mekundu, yanayolimwa Bukoba?Huku saizi maharage hasa Yale mekundu baba yanatafutwa ni balaa, Mimi napigana hapa nipate vibali nije bongo kukusanya mzigo.
Bila shaka unazungumzia zile zama ambazo ukisema vyuma vimekaza, unaambiwa ulikuwa unaishi kwa kutegemea madili!Sikulifiria hilo kwa maana ilikuwa2018 wakati Vyuma vilipokuwa vimekaza balaa, halafu ikawa hata ukisema vyuma vimekaza ni marufuku😁
Ndio mkuu, tumepitia wakati mgumu sana.Bila shaka unazungumzia zile zama ambazo ukisema vyuma vimekaza, unaambiwa ulikuwa unaishi kwa kutegemea madili!
Duh mkuu mimi siwezi kwenda huko.Tuma saizi unapata kiulaini. Mimi mchana huu nimetuma email 2