Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Ngumu kuielewa na kuaiamini ..! Kuna mafamilia mengine yanahisi mwanamke akiwa ana kipato kikubwa bas ni kama laana[emoji38]! Nawacheki kwa mbali nasema nhiiii
Sio wote, ila wanawake wengi wa kibongo wakiwa na kipato kikubwa wanazingua sana
 
Tanzanian tunasifa mbaya siku hizi kimataifa. Kwa mfano nilipofika huku nilipo Qatar moja kwa moja nilitengwa pekee yangu maana bongo taarifa zilizopo eti Kuna korona sugu. Hivyo nilifanyiwa vipimo balaa pamoja na kwamba Nina cheti changu Cha korona kile Cha 100$ lakini wapi dah. Nikapigwa Karantini wiki tatu aise siyo poa kabisa. Na Kila kitu nilikuwa najinunulia Mimi.
Mkuu Qatar kuna michongo au wahindi wameshakomba yote
 
Ubalozi wetu umelala! Walipadwa kufanya ufuatiliaji!
Ume'prove' wewe kama wewe ila upande wa amaphoyisa wakikukamata au wadau wengine wanasema ni mtanzania, na ndiyo imeshaharibika hivyo mkuu!.
 
Tanzanian tunasifa mbaya siku hizi kimataifa. Kwa mfano nilipofika huku nilipo Qatar moja kwa moja nilitengwa pekee yangu maana bongo taarifa zilizopo eti Kuna korona sugu. Hivyo nilifanyiwa vipimo balaa pamoja na kwamba Nina cheti changu Cha korona kile Cha 100$ lakini wapi dah. Nikapigwa Karantini wiki tatu aise siyo poa kabisa. Na Kila kitu nilikuwa najinunulia Mimi.
oya cc pinye mambo gan hayo mwanangu unachimba bila kuaga..ndo maana hupatikan..fanya kunitafuta basi mzee.
 
Dah ilikuwa gafla mzee baba cunajua Tena ..ngoja nitakucheki jioni namba yako si Ile Ile mzee wa kazi?
 
South Noma niliwahi kufata mkumbo mwaka 1990 nikashawishika kwenda South dah nilipofika nilijilaumu sana baada ya kuona maisha halisi waliokuwa wanaishi watz.... Baada ya kufika moja kwa moja tulienda kujitambuliza kwa home wetu kuwa tayar tumeingia basi home boy akatupeleka anakokaa kwenye mgorofa mmoja humo kuna wabongo kama wote.... Yaani sitokuja sahau aisee... Hilo gorofa kila muda ni milio ya risasi namuuliza mwanangu vip ananiambia kuna mtu kazingua kabigwa risasi mara wabongo wale wa kule wamevamia hapa wamepiga watu risasi kisa demu aisee maiti kila muda duh mbaya zaidi rafiki yangu alienitoa bongo kunileta kwa mkaburu asubuhi a naona watu wamejazana chini nauliza naambiwa mwanao kapigwa kisu na wazuru kafa yupo hapo chini polisi(kitenga) bado hawajafika... Nilishangaa sana yaani matukio ya mauwaji ni kitu cha kawaida maeneo hayo... nikaona hapa sio sio sehemu ya kuishi.... Nafanyaje na hela sina akili ikanijia nikajilipue polisi mimi mtanzania naishi South bila documents yoyote labda naeza kurudishwa home kirahis.....thubutu sijaamini nilichikutana nacho baada ya kujitambulisha mimi mtanzania sijui naishi bila kibali.... Picha linaanza nilifukuzwa hapo kituo cha polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Huko sio kwa kwenda kama una Channel yoyote ya maana utaenda juta
Hahahahahah
 
Wewe ni muongo sana, hii umesimuliwa au ume- exaggerate.

Unaijua dizonga ya 1990 wewe .?....[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi umri wa kuja SA kutafuta maisha ni gani kwelj[emoji23] nisije kuja niko above au below, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu saizi Qatar,UAE kuna fursa Sana wahindi hawaingii sababu ya Covid-19. Ukiomba mchongo wa fani yoyote kwenye matangazo yao unapata fasta.
Mkuu nipe konekshen ya kuuza maparachichi Qatar. Kuna mdau aliwahi niambia kilo ya maparachichi Qatar Ni sawa na Tzs 10,000.
 
Wewe ni muongo sana, hii umesimuliwa au ume- exaggerate.

Unaijua dizonga ya 1990 wewe .?....[emoji3][emoji3][emoji3]
Unabishana au....? Babu sisi ndo wazee wa Deben miaka hiyo enzi za kina JONGO janga, bellwhite, mabula.... Sema kiusalama siwezi weka picha hapa ningekuwekea picha hapa huenda ungjua naongelea na nani
 
Back
Top Bottom