Enzi hizo kulikuwa kuna msela mmoja kaburu wa bongo wengi wanamjua wakuitwa COSBY MALIMAA au MZUNGU BABU alikuwa smart sana huyo msela yaani ukifika unaulizwa haya ndo ushafika kaburu unataka kufanya kazi au unataka kupanda meli basi kama meli jamaa atafanya kila awezavyo anakukutanisha na machizi meli hapo baba lazima usafir atakutia moyo utakula na Full mipango atafanya.... [emoji1787][emoji1787]Meli hata iwe wapi itafuatwa na watu watajipakia huyo babu kawapa masela wengi sana good time kaburu.... Sasa hiv yupo Tz kitambo umri umeenda nimeshakutana nae magomeni kagera maeneo ya friends corner maarufu sana... Huyo babu mwenyewe katembea sana na bomba hakuna nchi hajafika huyo ndio roho ya wapanda meli wengi sana wa bongo...