kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
Mbongo ukiwa kwa mabeberu ni hatari sana, unaweza kumpa michongo mwisho wa siku anakusagia kungun na kukuchomesha! Wabongo tuna pepo la ubinafsi, hata viongozi wetu serikalini tunawaona.Exceptional kwa wapemba! Wana umoja!
Nenda U.S. nenda U.K., nenda Sweden Norway, watz, hawana asili ya kushikana, roho za kwanini kwa asilimia kubwa, wanaoweza kushikana labda watu wa familia 1.
Wenzetu bamutubaCongo, Ghanaians, Naija, Ethiopians, Somali, Waganda wanashikana ndiyo maana wana diaspora community tofauti na sisi.
Everyday is Saturday................................😎