Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nashindwa elewa aiseKule nliambiwa kazi za viwanda na uzalishaji ndo zina kipimbele zaidi.
Kama una fani yako na nguvu jilipue
Huyo na masters yake alifeli wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa elewa aiseKule nliambiwa kazi za viwanda na uzalishaji ndo zina kipimbele zaidi.
Kama una fani yako na nguvu jilipue
Huyo na masters yake alifeli wapi?
Huko Canada skuizi kuingia ni nguma Kama kuingia peponi labda umpate native wa kule ndyo akuchukue wenzetu wanaijeria wanasaidiana akitoboa mmoja analeta wengine kumi ndyomaan huku SA hawawapendi wanaijeria wapo vizuri
😅😅why babeYou have broken these walls my baby
Exceptional kwa wapemba! Wana umoja!
Nenda U.S. nenda U.K., nenda Sweden Norway, watz, hawana asili ya kushikana, roho za kwanini kwa asilimia kubwa, wanaoweza kushikana labda watu wa familia 1.
Wenzetu bamutubaCongo, Ghanaians, Naija, Ethiopians, Somali, Waganda wanashikana ndiyo maana wana diaspora community tofauti na sisi.
Everyday is Saturday................................😎
Nakubaliana nawe hawa wapemba nina mashaka siyo WADANGANYIKA wala Watz.Kabisa, Watanganyika hatina hulka ya kisaidiana na kushikamana!! Wapemba siyo wenzetu wale, tunawalazimisha tu 😂😂😂
Sasa mkuu utaongeleaje vitu ambavyo umesimuliwa?ungekuwa umejaribu kuishi nje au hata kufika ungefanya comparison inayoleta logic.Kuna jamaa aliwahi kuja ofisini kwangu tukawa marafiki kiasi tukawa tunazungumza mambo mambo. Akaniuliza, umewahi kufikiria kuondoka Tanzania kwenda nchi za nje? Nikamjibu hapana, akauliza kwa nini? Nikamjibu nchi yetu bado bikra. Aliniangalia kwa macho ya udadisi sana na appreciation kubwa.
Akanambia, you re right bro, don ever think leaving ur country going outside looking for opportunities. There a lot of opport in here, its just the matter of how ur twisting ur head. May be the biggest problem could be the capital, but u have a lot of money in here.
Tulizungumza mengi sana akawa ananipa dodoso ya huko kwao kulivyo akilinganisha na kwetu nikawa namsikiliza tu. Jamaa baba yake ni Ethiopian mama yake ni Mwarabu. Binafsi bongo sihami, nje nitakwenda kutembea au kuchukua bidhaa mtaji wangu ukikua.
Alienda nchi gani na alikuwa na malengo gani?Haswa...alirudi na 3m...leo hii ukimpa 20k anakushukuruje
Canada...alizamia kipindi kile kuzamia fashenAlienda nchi gani na alikuwa na malengo gani?
Duh alikuwa Canada halafu akashindwa kutoboa. Duh itakuwa Kuna vitu alikosa aise siyo bure..Huyu shemeji yangu alikua canada pia..alivhofanikiwa amerudi na masters...basi...mie maisha yyt yale jaman naishi mradi nilipwe...mie bas tu nna familia tayari ..la sivyo nikujilipua
Mlevia balaaDuh alikuwa Canada halafu akashindwa kutoboa. Duh itakuwa Kuna vitu alikosa aise siyo bure..
Frustrated fela!Mlevia balaa
Wengi wanaoenda nje wanaoenda kwa picha ya maisha mazuri sijui Nini ..wanasahahu Kila sehemu no struggle ..Sasa waliofika na kukuta Mambo ni tafauti wanakuja kukuambia usiende Baki hapa hapa utatusua. Side asikwambie mtu ..kutusua kwenye nchi Kama hii hasa Kama no kijana masikini utachukua karibu robo tatu ya maisha yako yote ..inahitaji umachale na umakini usilale ili walikulishe ujinga wakutawale..Sasa mkuu utaongeleaje vitu ambavyo umesimuliwa?ungekuwa umejaribu kuishi nje au hata kufika ungefanya comparison inayoleta logic.
By the way jamaa alikuangalia AKAKUSHANGAA SANA NA KUKUDHARAU[emoji16] japo wewe ulihisi kakuaminia, unaweza jiuliza kwanini?.
Kwa sababu mtu mwenye hekima katika kutoa ushauri huangalia sana interest ya mshauriwa ili kusudi asimkwaze au kumdisappoint,hiyo principle inaitwa HAWTHORNE.
Ukweli unabaki kuwa kuna opportunity nje na nyingi kuliko hapa kwetu na maslahi ni makubwa mno,nimeishi nje ninajua ninachokisema.
Huwezi kusema kwenye ni rahisi kutoboa kwenye nchi ambayo any time TRA wanakusumbua na mikodi isiyoeleweka,sheria za uchumi za ajabu ajabu,kufilisiwa na kufungiwa account,kuteswa kwa wafanyabiasha na kunyang'anywa mali ulizozitafuta kwa jasho kwa kigezo cha UHUJUMU UCHUMI [emoji23] utoboe kirahisi kulinganisha na nchi zenye sera bora za maendeleo na zilizostaarabika.
Hebu fikiria ikiwa INVESTORS wenye billion dollars wanashindwa kufanya biashara kwa mazingira mabaya hadi wanakimbia nchi itakuwa wewe mwenye ml 2 - 10[emoji16]
Achana na biashara twende kwenye kilimo na ufugaji utatoka vipi,ulime nini?pamba ambayo kilo unauza shilingi 800 au mahindi unayonunua stock kubwa ya tani kadhaa,unasafirisha kufika mipakani yanazuiliwa kuingia kuwa ya SUMU[emoji24]?kwa sababu ya uhusiano wa kidiplomasia mbaya baina yetu na majirani?.
Ukiajiliwa je?ukae miaka 6 bila promotion, increment na ongezeko la mshahara utatoboa?.
Kuna ajira?NGO'S na Government zinaajiri?.
Note😀ada wa kazi na mfanya usafi std 7 DUBAI,QATAR,OMAN na SAUDIA analipwa kuanzia TSH 800,000 monthly,free meal,free healthcare,free accomodations,free WiFi,unamlinganisha na mfanya kazi gani wa serikali yako na mwenye elimu ipi?
Kabisa Mkuu,bahati mbaya wengi,hawalijui hili ndugu zangu tutoke tutafute fursa,ukiona mlango mmoja umefungwa ipo mingi tu iko wazi,tutoke tutafute fursa tufanikiwe [emoji736]Wengi wanaoenda nje wanaoenda kwa picha ya maisha mazuri sijui Nini ..wanasahahu Kila sehemu no struggle ..Sasa waliofika na kukuta Mambo ni tafauti wanakuja kukuambia usiende Baki hapa hapa utatusua. Side asikwambie mtu ..kutusua kwenye nchi Kama hii hasa Kama no kijana masikini utachukua karibu robo tatu ya maisha yako yote ..inahitaji umachale na umakini usilale ili walikulishe ujinga wakutawale..
Frustrated fela!
Ulevi siyo jawabu!
Hizo ni dalili za kukata tamaa na utoto.
Ukishajua ulipokosea unatafuta kusawazisha siyo kukaanga maini!
Mbona wengine tumezurula tukarudi nchini tukaitikia wito wa mapinduzi ya kijani na kilimo n.k.
Vyombo tunapiga lakini huwezi kutuita walevi.
Kujikubali tu kuwa sisi siyo watoto wa Buckingham Palace.
Everyday is Saturday............................ 😎
Kutoboa kirahisi🙄🙄🙄🙄🙄..??Mfano kwa kuanzia uwe Na mtaji wa shilingi ngapi za kitanzania ukija huko ili angalau mambo yaende?
Biashara gani maeneo yapi au miji ipi unaweza kutoboa kirahisi?
Kama una elimu mfano diploma au digrii ni specialization zipi ambazo kupata ajira ni rahisi?
Saidia mkuu, nafikiri wengi tutafaidi