Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Hajawah kukaa sawa ..aliondoka 1997 akarudi siku ya msiba wa dingi ake na hiyo 3m..since then akasema harudi huko wenzake wote wameoa na maisha wanayo..yy kkutwa kugongea nyagi
Kwenye familia yetu wapo wawili, mmoja 37, another kwenye late 40s, jamaa hawana chochote, wanaona hata aibu kurudi home, wote elimu yao ni form 6, and walifaulu vizuri tu, ujuaji mwingi wakaamua waende Ulaya. No kids, no house! Wakirudi wanafikia home na kwenda kushinda Samaki samaki siku nzima, wanasema hata wakirudi tz kuishi watafanya nini sasa? Hamna hata pa kuanzia, bora wapate fedheha huko Ulaya kuliko tz. Marafiki zao wote waliowaacha tz wapo very stable financially kibongo bongo
 
Mhh hili linasikitisha na kuogopesha maana ni ndoto za wengi kwenda majuu

Kingsmann
 
Kuna jamaa aliwahi kuja ofisini kwangu tukawa marafiki kiasi tukawa tunazungumza mambo mambo. Akaniuliza, umewahi kufikiria kuondoka Tanzania kwenda nchi za nje? Nikamjibu hapana, akauliza kwa nini? Nikamjibu nchi yetu bado bikra. Aliniangalia kwa macho ya udadisi sana na appreciation kubwa.

Akanambia, you re right bro, don ever think leaving ur country going outside looking for opportunities. There a lot of opport in here, its just the matter of how ur twisting ur head. May be the biggest problem could be the capital, but u have a lot of money in here.

Tulizungumza mengi sana akawa ananipa dodoso ya huko kwao kulivyo akilinganisha na kwetu nikawa namsikiliza tu. Jamaa baba yake ni Ethiopian mama yake ni Mwarabu. Binafsi bongo sihami, nje nitakwenda kutembea au kuchukua bidhaa mtaji wangu ukikua.
 
Kwenye familia yetu wapo wawili, mmoja 37, another kwenye late 40s, jamaa hawana chochote, wanaona hata aibu kurudi home, wote elimu yao ni form 6, and walifaulu vizuri tu, ujuaji mwingi wakaamua waende Ulaya. No kids, no house! Wakirudi wanafikia home na kwenda kushinda Samaki samaki siku nzima, wanasema hata wakirudi tz kuishi watafanya nini sasa? Hamna hata pa kuanzia, bora wapate fedheha huko Ulaya kuliko tz. Marafiki zao wote waliowaacha tz wapo very stable financially kibongo bongo
Lakini mbona wengine wanatusua jamani?? Dah aibu sana na misongo juu
 
Back
Top Bottom