Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Mbona wanatutupiaga mapicha mingi mingi ndani ya ndinga za wakina bmw huku wanabang na mabebe wakizungu na kizulu
Hahahahahahahahahaahah!

Mkuu kuwa makini aiseee. Watakuibia!!!!

Juzi mmoja kafiwa na baba yake mzazi huku kashindwa kuja msibani hana nauli. Sio suala la covid au nini, ni yaani hana nauli
 
Mfano kwa kuanzia uwe Na mtaji wa shilling ngapi za kitanzania ukija huko ili angalau mambo yaende?

Biashara gani maeneo yapi au miji ipi unaweza kutoboa kirahisi?

Kama una elimu mfano diploma au digrii ni specialization zipi ambazo kupata ajira ni rahisi?

Saidia mkuu, nafikiri wengi tutafaidika
Mtaji angalau dollars 4000 na biashara nzuri kufanya ni duka la vyakula many peoples huku wananunua chakula dukani miji mizuri ni Capetown ila kule maisha ghari, polokwane, East London, port Elizabeth hii mini hata vurugu ni chache ina wazungu wengi huwa hakuna vurugu sana
 
Kusafiri ni kujifunza Mku usiogope kwani afadhali South ya leo sio ile ya miaka 90 ilikuwa mbaya sana.
Miaka hiyo Wazulu awalikuwa wanamuua Mtu ndo wanamsachi lakini sikuhizi Wazulu anajua kumkaba mtu bila ya kuua
Miaka ya 90 uchumi ulikuwa juu wazawa walikuwa wanapewa mpaka nyumba bure saivi hali ngumu wazawa wengi wanakimbilia maputo

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mfano kwa kuanzia uwe Na mtaji wa shilling ngapi za kitanzania ukija huko ili angalau mambo yaende?

Biashara gani maeneo yapi au miji ipi unaweza kutoboa kirahisi?

Kama una elimu mfano diploma au digrii ni specialization zipi ambazo kupata ajira ni rahisi?

Saidia mkuu, nafikiri wengi tutafaidika
Huko sio pa kwenda kufanya biashara,haohao wabongo ukitua tu wanakupora.
Nchi yetu karibuni mambo yatakuwa mazuri kwenye uwekezaji chini ya mama.
 
Sawa sisi tumekusikia na tumekubali hatuji, Ila hebu tuambie ww Mwenzetu huko unafanya Mishe gani? Kwann hadi Leo hii bado umeng'ang'ania huko na hutaki kurudi tuendelee na Kilimo Kijijini huku Igembensabo?
Ndugu Mimi welder pia machenist huwa najishikiza sehemu tofauti shortly sieleweki

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom