Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Wezi wengi siyo watz bali ni msjiranu zetu ndio hupenda kujitambulisha kama watz lakini diyo! Hii nimesha'prove' mara nyingi tu! Ukiongea naye utagundua kidwahili chake siyo kabisa!
Nilikutana na washkaji 6 wa TZ ambapo mmoja wapo tuna udugu.

Niliona wanavyoishi, kiufupi tu wabongo kule bondeni ni michosho
 
Mfano kwa kuanzia uwe Na mtaji wa shilling ngapi za kitanzania ukija huko ili angalau mambo yaende?

Biashara gani maeneo yapi au miji ipi unaweza kutoboa kirahisi?

Kama una elimu mfano diploma au digrii ni specialization zipi ambazo kupata ajira ni rahisi?

Saidia mkuu, nafikiri wengi tutafaidika
Kuuza Bangi mtaji milioni Tatu
 
Back
Top Bottom