Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Kwenye familia yetu wapo wawili, mmoja 37, another kwenye late 40s, jamaa hawana chochote, wanaona hata aibu kurudi home, wote elimu yao ni form 6, and walifaulu vizuri tu, ujuaji mwingi wakaamua waende Ulaya. No kids, no house! Wakirudi wanafikia home na kwenda kushinda Samaki samaki siku nzima, wanasema hata wakirudi tz kuishi watafanya nini sasa? Hamna hata pa kuanzia, bora wapate fedheha huko Ulaya kuliko tz. Marafiki zao wote waliowaacha tz wapo very stable financially kibongo bongo
Hao ni mafala huko ulaya walishindwa kujiendeleza kielimu
 
Hahahahahahahahahaahah!

Mkuu kuwa makini aiseee. Watakuibia!!!!

Juzi mmoja kafiwa na baba yake mzazi huku kashindwa kuja msibani hana nauli. Sio suala la covid au nini, ni yaani hana nauli
Duh....Hatari....tena wengine wako humu humu JF; huwa wanasema nao wako South; naona huu uzi hawatouchangia.
 
Tatizo kubwa la wa TZ wanaojitolea kutoka nje ya nchi kutafuta Maisha wengi ni wale ambao wana hali mbaya sana, Hawana mitaji wala hawana elimu, hii inatokana kuwa wa TZ wengi ni watu walioridhika na umaskini. Mtu akipata kijiajira cha ualimu tu anatulia tuliii na kijimshara cha laki 6.
 
Huyu shemeji yangu alikua canada pia..alivhofanikiwa amerudi na masters...basi...mie maisha yyt yale jaman naishi mradi nilipwe...mie bas tu nna familia tayari ..la sivyo nikujilipua
No excuse katika maisha, familia kitu gani ushawahi kujiuliza ukifa leo familia itaishije? Pambania ndoto ingali uhai ikitiki your family will be proud of you
 
No excuse katika maisha, familia kitu gani ushawahi kujiuliza ukifa leo familia itaishije? Pambania ndoto ingali uhai ikitiki your family will be proud of you
Ungejua hata hapa napigwa vita balaa..yaan nashangaa....
 
South Noma niliwahi kufata mkumbo mwaka 1990 nikashawishika kwenda South dah nilipofika nilijilaumu sana baada ya kuona maisha halisi waliokuwa wanaishi watz.... Baada ya kufika moja kwa moja tulienda kujitambuliza kwa home wetu kuwa tayar tumeingia basi home boy akatupeleka anakokaa kwenye mgorofa mmoja humo kuna wabongo kama wote.... Yaani sitokuja sahau aisee... Hilo gorofa kila muda ni milio ya risasi namuuliza mwanangu vip ananiambia kuna mtu kazingua kabigwa risasi mara wabongo wale wa kule wamevamia hapa wamepiga watu risasi kisa demu aisee maiti kila muda duh mbaya zaidi rafiki yangu alienitoa bongo kunileta kwa mkaburu asubuhi a naona watu wamejazana chini nauliza naambiwa mwanao kapigwa kisu na wazuru kafa yupo hapo chini polisi(kitenga) bado hawajafika... Nilishangaa sana yaani matukio ya mauwaji ni kitu cha kawaida maeneo hayo... nikaona hapa sio sio sehemu ya kuishi.... Nafanyaje na hela sina akili ikanijia nikajilipue polisi mimi mtanzania naishi South bila documents yoyote labda naeza kurudishwa home kirahis.....thubutu sijaamini nilichikutana nacho baada ya kujitambulisha mimi mtanzania sijui naishi bila kibali.... Picha linaanza nilifukuzwa hapo kituo cha polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Huko sio kwa kwenda kama una Channel yoyote ya maana utaenda juta
 
Wezi wengi siyo watz bali ni majirani zetu ndio hupenda kujitambulisha kama watz lakini diyo! Hii nimesha'prove' mara nyingi tu! Ukiongea naye utagundua kiswahili chake siyo kabisa!
Naunga mkono hoja.
 
Aisee niliwaona (well.. kwenye TV) Wazimbabwe wakivuna Shamba la Miparachichi usiku usiku halafu wanaenda kuyavundika na kuyauza walipiga pesa ndeefu..nikajisemea Moyoni nani anitupe huko.
Harafu mtu yupo huku anasema wewe usije kazi ipo...
 
Back
Top Bottom