Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

[emoji38][emoji38] chief tumalizie ulifanyaje mpaka ukarudi bongo

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ila kunamtu alikua anasimlia simlizi ya huko alisema maisha ni magum Tena akasema usiombe ukutane na wabongo mateja yani watakulazimisha ujisaidie wapekue kinyesi waone Kama kunaunga ila alisema kua wabongo wanapendwa Sana na madem wa south Africa sijui nikweli

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Natumai wazima wote leo nilikuwa natamani tushee Jambo moja na watanzania wenzangu mnaohitaji kuja kutafuta ajira huku SA
Kweli hakuna jipya chini ya jua,sie kaka,anko Zenu tulijsribu kuzamia bondeni kipindi Cha Mandela miaka ya 94s,wapo waliofanikiwa wapo waliotoswa baharini,waliofanikiwa waliporudi walikuwa na mpunga mrefu hatari.

Nawakumbuka mabaharia wawili Mitaa ya sinza,wao pekee ndio walikuwa wanamiriki sport car,na tv mtaa mzima,watoto wote tulikuwa tunaenda kucheki muvi za kihindi na ya komando john
 
Hajawah kukaa sawa ..aliondoka 1997 akarudi siku ya msiba wa dingi ake na hiyo 3m..since then akasema harudi huko wenzake wote wameoa na maisha wanayo..yy kkutwa kugongea nyagi
And watu wa hivyo wakishalewa wanakuwa wanajiona wanyamwezi sana, madharau mingi na kuwaona wabongo hawana exposure
 
Kuna jamaa yangu alienda kufanya masters Sweden, karudi full madharau, akadharau hadi coworkers na mabosi wake, akatimuliwa kazi. Kuna siku nipo naye bar akaniambia tatizo lako mkuu huna exposure haha, tena kipindi hicho mimi ndiyo nilikuwa nampa deals ya kupata tuhela twa kuendeshea family maana alikuwa out of work, now ni psycho case, kalazwa Milembe zaidi ya mara 3, wife kasepa na madogo, makovu mwili mzima ya kupigwa kwenye mabaa, anakunywa then hana hela ya kulipa.

Wabongo inabidi wajue nje siyo kitu kitu, inaweza kuwa miundombinu yetu na government yetu haipo poa kivile, but raia mmoja mmoja tunawazidi sana. Nipo nchi fulani now, kuna jamaa jirani yangu kutoka mojawapo ya nchi ya kiafrika, phd student, kompyuta tumemfundisha huku kutumia, kompyuta yake ya kwanza kanunua mwaka wake wa 3 wa phd. Tuache kujidharau na kuidharau nchi yetu.
 
Kuna jiran yetu aliibaga TV nyumban kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah siyo poa kule kwa wadada hakufai aise ..kama haina roho ya kibabe hauishi..
 
nitakuha matembezini kwa week kadhaaa... utakuwa mwenyeji want I[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…